Young Ip man
Member
- Jun 16, 2025
- 7
- 12
Sawa
Shepu number ngapiNina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Duh kwenye mazishi tena mkuu, watu wapo na majonzi ya kutokwa na mpendwa wao, we upo kwenye kona mahali unashusha sound 😄😄harusi/mazishi
Ipo kabsaa ... mwanaume akishadhamiria anatendaa ... ukute mjane ni pisi kali jamaa anaenda toa polee ya kipekee ..baadae sound la kubembelezaa siku zijazoDuh kwenye mazishi tena mkuu, watu wapo na majonzi ya kutokwa na mpendwa wao, we upo kwenye kona mahali unashusha sound 😄😄
🎶🎶Pawa pawa naishiwa pawa🎵
Mimi nadhani ntamfaa maana ni Tall dark and handsomeUnaangalia sana movies, mume mtarajiwa ajiandae kugongewa na kina Tall, dark & handsome.
Dunia imebadilika, unaishi wapi? Unampangia wee awe wa kike?Bwana Tonny, si kasema anatafuta mchumba wa kiume... Maana yake yeye ni wakike...
Mbona hajanipa wewe?
Nitext nataka nikushauriNina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Mchumba mwanaume au mwanamke?? Edit hiyo post sema mimi ni mwanamke nina miaka 25 ,naishi dar, halafu baadacya kumalizia sema unatafuta mchumba hapo utaeleweka .Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Kuna kiambatanishi hujakiwekakuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.