Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,301
- 37,051
Nataka niongeze mke upo tayar kuwa second wife.Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Ila kwanini usitafute kwenye cycle yako mfano kwenye wateja wako, nyumba ya ibada, school mates in all level of your education, mtaani Kwako,sokoni, kwenye jumuya mbali mbali utakazo jumuika e.t.c kwa Nini umekuja humu jukwaani
Tuachane na hayo..
Ntatimiza Majukumu kama baba wa familia Cha msingi uwe second wife
Motive behind
Ukoo wetu upo kwenye tishio la kutoweka maana tupo wachache so najitahid angalau niwe na watoto 10 mpaka 20 nipo kwenye huu mkakati wangu kuhakikisha ukoo wetu uendelee kuwepo kwenye hii dunia vizazi na vizazi.
Naomba kuwasilishaaa.