Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Huku kwangu kuna MSEBULE, vipi utakufaa?

Kama jibu ni yes njoo
Screenshot_20250618-085538_Chrome~2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom