GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 453
Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri form four na high level awe amefaulu kawaida,wa chuo mpaka nimwambie mjomba,nimepewa chumba kimoja na mjomba majohe kuna umeme na maji ndio ntahamia, kwa sasa bado nipo nakaa kwa mjomba moshi bar mpaka nitakapopata mchumba nakaribisha maombi yote na wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 25.