Natafuta mchumba aliyefaulu kwa high flying colours

tehteh huyo mchumba anatafuta kubeba mzigo na majuto ktk ndoa yake yaani mtu unafugwa bado unataka kuoa huna mkakati wowote wa kutengeneza maisha yako basi unaona pesa za pension za mzee wa watu ndo zako,zenyewe hazina matumizi zinakungoja wewe eti wa chuo mpaka nimuulize mjomba ndie anaeoa yaani mwanaume kama ww ni mkosi kwangu ni sawa na kukaribisha majanga ya moto ndani ya nyumba huna maana.
 
Yan nakuonea huruma,Utachunwa wewe hadi ngozi..af afuate ankol wako wamchune kiinuamgongo choote..then na mabeg yenu mgongoni off to village,kwa msaada wa magari ya magazeti!!
Chezea Da'slama wewee...
Utakuja na sredi apa..ingia tu mzima mzima! Me nkajua hata either utaongeza elimu au bussiness! Unataka akil za Necta?!! Myman,em waza upya na jifunze kutoa fungu la kumi, husaidia kukupa neema ya kutumia hela na akili vzuri.
All the best,but be carefull!!
 
hehehe, asante kwa kunielewesha manake nilishakuwa confyuzed hapa. Sasa pata picha una kampwa hapo kanakula ugali wa shkamoo, kanakuuliza ankal kuna mdada kanipm ila ana digirii tatu anataka kuwa mchumba wangu, nikubaliiii?
kama hujavua viatu bado unaweza kumkimbiza hadi stendi unajua? vivulana vya siku hizi akili matope kabisa
Mbona kila kitu kinajieleza jamani, mnatakaje? Mjomba kuwa na gari maana yake baadhi ya siku mnaweza kuwa mnalitumia sio kama lile la ofisini ambalo ndugu hawaruhusiwi kuligusa. Mjomba amepewa hela ina maan anaweza kumpa kijana kiasi hivyo hela za kutumia sio shida angalau kwa kuanzia, msichana aliyefaulu vizuri ni rahisi kupata kazi na kusapoti life baada ya hela za mjomba kuisha.
Palipo nichanganya ni pale pa "...wa chuo ni mpaka nimwulize mjomba...". Duh! JF isingekuwepo tungefanyaje jamani! Unatoka ofisi umechoka zako unaingia JF unacheka unalala, kesho maisha yanaendelea na JF inazidi kuwa burudani.
 
Mkuu jipange kwanza kimaisha, hapa Dar ndio kwanza una miezi miwili na unaishi kwa mjomba aliyestaafu.

Anaishi kwa mjomba mstaafu ambae kila siku ela zake zinapungua maana wastaau wengi huwa wanatafuta kazi ya kufanya baada ya kustaafu
 
Mbona kila kitu kinajieleza jamani, mnatakaje? Mjomba kuwa na gari maana yake baadhi ya siku mnaweza kuwa mnalitumia sio kama lile la ofisini ambalo ndugu hawaruhusiwi kuligusa. Mjomba amepewa hela ina maan anaweza kumpa kijana kiasi hivyo hela za kutumia sio shida angalau kwa kuanzia, msichana aliyefaulu vizuri ni rahisi kupata kazi na kusapoti life baada ya hela za mjomba kuisha.
Palipo nichanganya ni pale pa "...wa chuo ni mpaka nimwulize mjomba...". Duh! JF isingekuwepo tungefanyaje jamani! Unatoka ofisi umechoka zako unaingia JF unacheka unalala, kesho maisha yanaendelea na JF inazidi kuwa burudani.

Hapo kwenye red umenielewesha vizuri nilikuwa sijui....................
 
hehehe, asante kwa kunielewesha manake nilishakuwa confyuzed hapa. Sasa pata picha una kampwa hapo kanakula ugali wa shkamoo, kanakuuliza ankal kuna mdada kanipm ila ana digirii tatu anataka kuwa mchumba wangu, nikubaliiii?
kama hujavua viatu bado unaweza kumkimbiza hadi stendi unajua? vivulana vya siku hizi akili matope kabisa

Ukimsoma vizuri, mstari kwa mstari na ukaifikiria tone ya sauti yake utajua jamaa anamaanisha kabisa. Hawa watu wapo, na si ajabu shule alikataa kusoma ila yeye anataka msomi.
 
kiukweli kuna muda nilijua mtu anajoke ,lakini kadiri nilivokuwa nasoma walahi jamaaa anamaanisha nyie!kha!ahahahahhahhahahhaa watu8 my dear hebu njoo ujionee mijimambo huku!
 
Last edited by a moderator:
No mamito he is just joking thats y i ddnt take it serious bt if he is serious then he must be sic in the head..............
kiukweli kuna muda nilijua mtu anajoke ,lakini kadiri nilivokuwa nasoma walahi jamaaa anamaanisha nyie!kha!ahahahahhahhahahhaa watu8 my dear hebu njoo ujionee mijimambo huku!
 
Dah kweli kuna wanaume na watoto wa kiume! We jamaa yangu wewe daaah!!
 
kiukweli kuna muda nilijua mtu anajoke ,lakini kadiri nilivokuwa nasoma walahi jamaaa anamaanisha nyie!kha!ahahahahhahhahahhaa watu8 my dear hebu njoo ujionee mijimambo huku!

Hahahah ngoja nicheke kwanza maana tokea niamke sijafanya mazoezi ya mbavu....nikitulia vizuri i'll do the needful kwa huyu mume b.wege mtarajiwa....
 
Last edited by a moderator:
Hivi umesema unataka kuoa au kuolewa?
Ndugu mjini kwenyewe umeletwa, hata bahari hujui ilipo...
 
Kha! Na anataka kulowea kwa mjomba. Kanifurahisha tu ati ankal kastaafu kazi na hatumii gari ya kazini tena. Shughuli pevu
Ukimsoma vizuri, mstari kwa mstari na ukaifikiria tone ya sauti yake utajua jamaa anamaanisha kabisa. Hawa watu wapo, na si ajabu shule alikataa kusoma ila yeye anataka msomi.
 
Umeanza mawivu yako. Na mabinti wa siku hizi hatufai, akinikaribisha hapo kwa ankal nahamishia majeshi kwenye pensheni mie sikuja kuuza sura town
Hivi umesema unataka kuoa au kuolewa?
Ndugu mjini kwenyewe umeletwa, hata bahari hujui ilipo...
 
Dah! great visionaire kweli dar imekupenda, ulikuja kwa ndege afu mambo yanazidi kuwa mazuri kwa mjomba, siku ile ulisema mtakuja posta na mjomba nikakwambia ukifika unitafute ukapotezea ndugu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom