Natafuta mchumba aliyefaulu kwa high flying colours

GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
365
453
Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri form four na high level awe amefaulu kawaida,wa chuo mpaka nimwambie mjomba,nimepewa chumba kimoja na mjomba majohe kuna umeme na maji ndio ntahamia, kwa sasa bado nipo nakaa kwa mjomba moshi bar mpaka nitakapopata mchumba nakaribisha maombi yote na wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 25.
 
muimi nina D 2 NA C MOJA.NAWEZA KUFIKIRIWA?
 
Unakaa kwa mjomba halafu unatafuta mchumba! We kweli mkare aisee!
BTW, hebu mpigie sweetlady kwa namba hii 02035053164, au mtumie vocha ya 18,000 ya star time utaona atakavyokupigia mwenyewe kwa namba hiyo. Umri wa huyo manzi una range between 18 to 25, ana qualifications unayotaka.
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenyewe unafugwa kwa mjomba, huyo utakayemuoa si atakufa njaa?? Samahani mimi sihitaji.
 
Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri form four na high level awe amefaulu kawaida,wa chuo mpaka nimwambie mjomba,nimepewa chumba kimoja na mjomba majohe kuna umeme na maji ndio ntahamia, kwa sasa bado nipo nakaa kwa mjomba moshi bar mpaka nitakapopata mchumba nakaribisha maombi yote na wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 25.

...Ndo nini hio? Hakuna kitu kama hicho
 
Mkuu jipange kwanza kimaisha, hapa Dar ndio kwanza una miezi miwili na unaishi kwa mjomba aliyestaafu.
 
Mie sijaelewa, uhusiano kati ya mjomba kununua gari lake, wewe kupewa chumba kimoja na gpa ya mchuchu? Hizo flying za chuo kikuu? Mjomba amekuajiri kuwa driver wake binafsi ama?

Ngoja nilipulize nije na vyeti hapa, A straight ila ni za post doctoral degree.
 
Mbona kila kitu kinajieleza jamani, mnatakaje? Mjomba kuwa na gari maana yake baadhi ya siku mnaweza kuwa mnalitumia sio kama lile la ofisini ambalo ndugu hawaruhusiwi kuligusa. Mjomba amepewa hela ina maan anaweza kumpa kijana kiasi hivyo hela za kutumia sio shida angalau kwa kuanzia, msichana aliyefaulu vizuri ni rahisi kupata kazi na kusapoti life baada ya hela za mjomba kuisha.
Palipo nichanganya ni pale pa "...wa chuo ni mpaka nimwulize mjomba...". Duh! JF isingekuwepo tungefanyaje jamani! Unatoka ofisi umechoka zako unaingia JF unacheka unalala, kesho maisha yanaendelea na JF inazidi kuwa burudani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom