Natafuta mchumba aliyefaulu kwa high flying colours

Umeanza mawivu yako. Na mabinti wa siku hizi hatufai, akinikaribisha hapo kwa ankal nahamishia majeshi kwenye pensheni mie sikuja kuuza sura town

hahahah hata sio wivu, hivi unajua mawazo ya huyu jamaa na yule mwanaume wa kule kijijini kabisa yaan kule ndani ndani...sasa kaja mjini siku hizi suruali hafungi tena na kamba ya katani anajifanya ataka kuoa msomi ili aringishie huko kwao kijijini...
na nikijua umeenda huko nakuja kukufurumua...
 
We si ndo ulikuja mjini na ndege wewe,,, dah mara hii unataka kuoa?

Kwanza hukutupa feedback ilikuwaje baada ya kutua JK Nyerere airport

Umenifurahisha ulivyokeep record na kijana anajua kama kawaida ya watanzania anajua ile ilishapita na watu wameshasahau kumbe watu wanatunza kumbukumbu.
Na kwa post hi poleni sana akina dada. Kama mtu mwenye sifa hizi anatafuta mwenye flying colours kwa kuahidiwa nyumba na mjomba tena magole. Je anayejitegemea na ana kazi yake na anakaa maeneo ta tuseme sinza atataka mwenye sifa zipi? Kazi kwelikweli
 
Asante kwa ushauri,lakini hata ukiangalia mwanza mjini na kijijini kwetu ngudu vijana kama mimi wanakuwa wameshaoa na watoto tayari wanakuwa nao ila nashangaa huku nimewaambiako tu mnaanza kunishambulia kwa maneno kama vile nimewakosea.

Yan nakuonea huruma,Utachunwa wewe hadi ngozi..af afuate ankol wako wamchune kiinuamgongo choote..then na mabeg yenu mgongoni off to village,kwa msaada wa magari ya magazeti!!
Chezea Da'slama wewee...
Utakuja na sredi apa..ingia tu mzima mzima! Me nkajua hata either utaongeza elimu au bussiness! Unataka akil za Necta?!! Myman,em waza upya na jifunze kutoa fungu la kumi, husaidia kukupa neema ya kutumia hela na akili vzuri.
All the best,but be carefull!!
 
Duh, jf hapaishi vituko mweee, King'asti na Binti.com naona wameyeyusha, labda jamvi hili tumpatie lara 1 au Ciello. Haya wale mabinti wanaotafuta pesa za wastaafu hizi hapa sasa kazi kwenu.
 
Daaah aisee nimecheka sana!


Mimi ni kijana ambaye nina mwezi wa pili nipo dar ,nilikuja kwa mjomba,sasa amestaafu amepewa ela sa hv amenunua gari lake sio la ofisini tena, kwa hiyo nataka kuoa msichana ambaye amefaulu vizuri form four na high level awe amefaulu kawaida,wa chuo mpaka nimwambie mjomba,nimepewa chumba kimoja na mjomba majohe kuna umeme na maji ndio ntahamia, kwa sasa bado nipo nakaa kwa mjomba moshi bar mpaka nitakapopata mchumba nakaribisha maombi yote na wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 25.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom