Mliofanikiwa kilimo cha ngano mtupe ABC natamani kulima

Mliofanikiwa kilimo cha ngano mtupe ABC natamani kulima

Kapalamsenga JR

New Member
Joined
Oct 23, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Salam wanajamii Forums!

Nipo Nyanda za juu kusini natamani kuanzisha kilimo cha ngano kwenye msimu wa mvua ujao hata hivyo bado natafuta kupata uzoefu kwa wakulima mliobobea kwenye zao hili. Je nini hasa changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo?

Je kilimo chake kinafanyikaje? Changamoto ya kwanza ambayo mpaka sasa nimekumbana ni ukosefu wa mbegu bora na zenye virutubisho.

Nimetembea karibu maduka yote ya pembejeo hakuna mbegu za ngano, kuna wengine nilipowauliza nitazipata wapi nikaambiwa wanaolima huwa wananunua masokoni!

Mtu mwingine akaniambia niwatafute TARI-Uyole Mbeya au Arusha kuna kampuni zinatengeneza mbegu. Hivyo naomba mchango wenu nipate experience ya kilimo cha zao hili.
 
Back
Top Bottom