Natafuta mbegu za matango pori

Natafuta mbegu za matango pori

Unataka kiasi Gani?
Nitakutumia nitakazo Bure TU utalipia nauli kipindi unapokea ila utasubiri Hadi siku nafika mjini sitaiweza kutumia nauli zangu kwenda kutuma Bali nitata siku nikiwa na safari ya mjini(stend)
Hamna tatizo mradi mawasiliano hata za kupanda nusu eka zinatosha.
Shukrani mkuu
 
Mkuu unahitaji yapi hayo?
Mimi nyumbani haya hapa ndiyo tunaita matango pori, ni sumu kama sijakosea
images (30).jpeg


Pia Kuna haya hapa tunaita matango ya kienyeji, yanaliwa mabichi au yakipikwa pia
images (29).jpeg


Sasa sijajua unahitaji yapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom