ahahahahahaaaaaaaa!....sio kweli mkuunwaigwe=igwe.
White wine, mkuu!Nwaigwe.
Unapendelea kinywaji gani ?.
Nakukaribisha.Hey,kanivip twaweza kuwa marafik.
Nahamu ya kukuona Preta! Nashukuru leo nimeanza kwa kuwaona filipo na Igwe..naamini nitawaona na nyiehao waliotajwa pia ni wachache.....tupo lundo la kutosha....achague yoyote kati ya hao amPM....atampa maelezo yote.....karibu sana
Nahamu ya kukuona Preta! Nashukuru leo nimeanza kwa kuwaona filipo na Igwe..naamini nitawaona na nyie
Karibu sana Nwaigwe!Nahamu ya kukuona Preta! Nashukuru leo nimeanza kwa kuwaona filipo na Igwe..naamini nitawaona na nyie
Mkuu,Hivi ulifika salama!? Nimefurahi sana kukutana na ww. U r so charming, friendly and "attractive". I hope we'll always be 2gether. Kuhusu kuwaona wengine, usitie shaka. Ukishaniona mimi, wengine utawaona tu!
Karibu sana. mi nipo makumira. si mzoefu sana wa jf so sijui namna ya kpm
Marafiki wa mpwapwa huwataki?