Natafuta Kunguru! tsh 7000 kwa kila mmoja

Natafuta Kunguru! tsh 7000 kwa kila mmoja

Maelekezo yako ni 7000 tu hapo hata iweje hautanunua tofauti na hapo mkuu niko palee
hapana sio kweli ukija na ofa yako siwezi kukupinga labda iwe ghali kupita kiasi kwa kila mmoja hapo nitashindwa mimi
 
Morogoro Hapa Kiwandani Alliance One Wapo Tele Sana
 
Back
Top Bottom