Huyo kunguru unayemtafuta alipotea lini, wapi, na alikuwa wa rangi gani. Cha kwanza kunguru haliwi na hafugiki na hata zanzibar niliskia serikali imetenga fungu la hela la kuangamiza kunguru coz wamekuwa wengi mno. Wewe na huyo mganga wako ipo cku yatawarudia. Au unataka uwanunue wengi kwa f7 afu mwisho wa siku uje uwauzie hao hao walokuuzia kwa f20 wabaki na makunguru yao usepe. Nimekuwa nikijua kunguru ni yule mvaa kikoti cheupe after kutembe nkakutana blackfull na wewe leo unakuja na story za kuwanunua. Kweli nimeamini sijaona mambo.