ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 671
mkuu tupo wengi kumbe. yani me ndo npo kijijin huku wala dogo atakayenbeba simjuIdaah kwel majanga mi mwenyewe nackilizia post ztoke,il nijue madogo wa huku kwe2 km watapata hapo udsm ndo niombe wanibebe,yaan mpaka tym hii bdo cjajua ntaish wap mwakan
we wa wapi wewe umesikia kila mtu ana uwezo wa kupanga mtaani..Nenda kajpangie mtaan hko,mwanaume wewe ucwe mwoga wa maisha,mnapenda miteremko ndo mana mkija huku dunian hamuwez kujtegemea.unataka kumsababshia mwenzio matatzo tu aciish kwa aman rum akckia wameanza kukagua wanaobebana,kwanza utambana mwenzio atakosa uhur tu.
mkuu tupo wengi kumbe. yani me ndo npo kijijin huku wala dogo atakayenbeba simjuI
juu ya zile meza za kusomea na wkt mwingne kwenye yale makochi,na tulikua wadau wengi.ila kuna mbu balaa.
Jaman mie ni mwanamme naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale wenye division 1 na 2 mnaokuja udsm naomba yeyote anitext 0685 733122-NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''KARIBUNI SANA

we wa wapi wewe umesikia kila mtu ana uwezo wa kupanga mtaani..
Nenda kajpangie mtaan hko,mwanaume wewe ucwe mwoga wa maisha,mnapenda miteremko ndo mana mkija huku dunian hamuwez kujtegemea.unataka kumsababshia mwenzio matatzo tu aciish kwa aman rum akckia wameanza kukagua wanaobebana,kwanza utambana mwenzio atakosa uhur tu.
duh!kubebana hii dhana mbaya sana,then mnajihita chuo bora afrika,ndio maana wahitimu wao wanapendwa kubebwa mpaka maofisini wanahaha kutafuta magodfather ili wapande vyeo1Jaman mie ni mwanamme naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale wenye division 1 na 2 mnaokuja udsm naomba yeyote anitext 0685 733122-NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''KARIBUNI SANA
acha ujinga wewe,mbona wapo walofanya organization wawil hata watat wakachukua rum wanaish wew,kuna rum mpaka za 40 sasa mkiwa wawil mnalpa bei gan kwa semester ama mwaka? By then unaish kwa aman zote.acha uzembe wa kufikiri dogo jinga.
laki 7?? huyu jamaa kamaliza form 4 mwaka jana
wenye three wapo wachache sana mdogo wangu ila usikacrike et karibu
Nimeona tangazo pale UDSM kuwa atakayebebwa itakula kwake ni jambo moja tu imortant letter to the dean of students unatimua.
Jaman mie ni mwanamme naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale wenye division 1 na 2 mnaokuja udsm naomba yeyote anitext 0685 733122-NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''KARIBUNI SANA
aibu ya mwaka,wanafunzi wa chuo wanalala wawili wawiliJaman mie ni mwanamme naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale wenye division 1 na 2 mnaokuja udsm naomba yeyote anitext 0685 733122-NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''KARIBUNI SANA