Kasoro Mimi tuKwani imekuwaje tena, JF si kila mtu ni tajiri.....
Heheheheheh yani apewe support kwenye nyumba ya mtu wakati anataka geto?Ngoja wenye nyumba zao wakusaidia hata room moja ila usisahau kuwapunguzia na majukumu kwa wake zao maana huwa majamaa haya huchoka sana na kaz
Hahahhaha Exile ndio kipengele manina ila nae lazma atakutwanga exile pia! Nakumbuka enzi ya chuo kuna mdau nilikuwa namgonga Exile mpaka sio poa! 😂😂😂Utaweza kuvumilia exile? Maana kwa week show mara 5 ntakuwa nakuachia siku mbili za kulalia kitanda...
Kimara zipo nyumba za hivyo kwa 85k tu ghetto self lililosimama freshInategemea eneo na eneo (eg mitaa ya Mbezi beach,Masaki ni high end wakati mitaa kama ya Temeke,Tandika,ni low end) ila andaa kati ya kuanzia 85,000 hadi 200,000. Hizi nime-assume kuwa unataka yenye choo cha ndani (self contained)
Akienda hao lazma watampasua tu huwajui madalali wewe 😅😅😅Nenda vijiwe vya mdalali uulize vyumba vya bei rahisi kama vipo, hao ndo huwa wana detail za mitaa mingi.
Maeneo ya makumbusho kule, manzese yote ile, magomeni, buguruni kule tabata nako huwezi kosa vyumba vya 30k na 20k.
Kuna jamaa angu alikua anakaa segerea pale chumba 30k, kizuri kabisa +umeme na maji ya dawasko vipo pale.
Kwahiyo inategemeana na ww mishe zako unapigia wapi.
15k madale kisicho na umemeChumba kisicho na umeme ni 20K hapo simu utachaji kwa jirani. Pia kuna nyumba za 30K zina umeme ila zipo uswahilini sana.
Bora ukae mwenyewe ndugu.
100k per monthNaomba kuuliza hivi single room kali yenye dali na umeme fresh kabisa
Labda na dirisha ni aluminum na mlangoni gate kabisa kwa dar inaweza kua shingap
Nenda madale hapo room 15k unapata safi na usafiri upo na kumechangamkaMbezi luguruni
Na akitafuta mwenyewe atakesha na kupata sio rahisi mkuu. Akienda kikolo atapigwa kweli.Akienda hao lazma watampasua tu huwajui madalali wewe 😅😅😅
Mkuu wewe ni dalali? Huko madale kuna vibarua au hadi apande gari aje kutafuta vibarua town?15k madale kisicho na umeme
Inategemea eneo na eneo (eg mitaa ya Mbezi beach,Masaki ni high end wakati mitaa kama ya Temeke,Tandika,ni low end) ila andaa kati ya kuanzia 85,000 hadi 200,000. Hizi nime-assume kuwa unataka yenye choo cha ndani (self contained)
Nenda Mbagala Mkuu kule utaweza kupata vyumba vya bei nafuu, hata chakula pia..Habari Wakuu,
Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini.
Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa jijini dar es salaam kutafta michongo ya hapa na pale Kama mnavojua Wakuu ukubwa Auna kengele sometimes inabidi ufanye maamuzi ya kuanzisha maisha yako no matter what Maana Watu wanasema Kama mambo ayaendi nenda wew
Kwa sasa ni mwezi umekata na nimefikia kwa ndugu, na Kama mnavojua kuishi kwa ndugu tena vitimbi vitimbi vya hapa na pale uwa havikosekani.
Kwa heshima na tahadhima Nimeona nije hapa jukwaani Kama kuna Mtu anapitia Hali Kama yangu tuweze kuunganisha nguvu tuchangie kodi tuchukue room ya bei nafuu tusongeshe maisha kibishi uku tunafukuzia michongo na Harakat au Kama kuna Mtu labda amepanga Tayr na anaona amepwaya kidogo niweze kumuongezea nguvu nijishikize Huku nikiseti Harakat zangu, Hii ni kutokana na bajeti yangu kuwa finyu na Bado cijaielewa mitaa vizuri, kodi irange 30-40 kwa mwezi
Naomba kuwasilisha wakuu
0657288997 contact me for more info
Merci"
Sijaelewa,ndo kumfanyajeHahahhaha Exile ndio kipengele manina ila nae lazma atakutwanga exile pia! Nakumbuka enzi ya chuo kuna mdau nilikuwa namgonga Exile mpaka sio poa! 😂😂😂
Exile =barring or ban for someone to get back home for a specific issue😅Sijaelewa,ndo kumfanyaje
Usishangae mkuu, huyu kaulizia "high end" rooms.Kaaah
Dogo komaa hizi ndio dalili za upunga. Badala ya kutafuta demu akusaidie kusafisha geto akupe challenges ununue na mapazia na kitanda kizuri we unataka kulala geto na mwanaume mwenzako.Habari Wakuu,
Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini.
Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa jijini dar es salaam kutafta michongo ya hapa na pale Kama mnavojua Wakuu ukubwa Auna kengele sometimes inabidi ufanye maamuzi ya kuanzisha maisha yako no matter what Maana Watu wanasema Kama mambo ayaendi nenda wew
Kwa sasa ni mwezi umekata na nimefikia kwa ndugu, na Kama mnavojua kuishi kwa ndugu tena vitimbi vitimbi vya hapa na pale uwa havikosekani.
Kwa heshima na tahadhima Nimeona nije hapa jukwaani Kama kuna Mtu anapitia Hali Kama yangu tuweze kuunganisha nguvu tuchangie kodi tuchukue room ya bei nafuu tusongeshe maisha kibishi uku tunafukuzia michongo na Harakat au Kama kuna Mtu labda amepanga Tayr na anaona amepwaya kidogo niweze kumuongezea nguvu nijishikize Huku nikiseti Harakat zangu, Hii ni kutokana na bajeti yangu kuwa finyu na Bado cijaielewa mitaa vizuri, kodi irange 30-40 kwa mwezi
Naomba kuwasilisha wakuu
0657288997 contact me for more info
Merci"
Majuu kwenyewe wanakaa wenye tabia moja mambo ya kukaa na kingese utaweza? Huyu dogo atacute room aache mambo ya kuchangia atapumuliwa.Hii majuu ipo sana, zinaitwa share house and rooms......sema kibongo bongo watu wana mitabia ya hovyo hovyo na isiyo tabirika plus ulozi, uchawi na matakataka kama hayo na discipline in general ipo chini.