Natafuta key ya ms office 2007

Wakuu Mzalendo80 na Sijui nini nawashukuru sana, key imeitika. Asanteni sana wakuu kwa msaada wenu. Mi si mtaalum wa computer so was blind about this. Asanteni sana, hii ni kama mmechangia shule yangu iende vizuri. Mbarikiwe

Swali la mwisho wakuu, hivi ukiwa na MS office 2007 student, kuna tofauti gani na hiyo pro? hasa kama natumia kwenye laptop yangu? kuna kitu nakosa?
Na je hii key ina maana sitahitaji ku-upgrade tena.
Mbarikiwe

You will get more features with the Pro than Student Version, Home and Student versions are cheaper and have fewer programs than the Professional versions and Pro has Access, Outlook and Publisher, plus it probably has a different license, if you care about that.
 
There are two major differences; there are more programs in Office Pro:

Access, Excel, Groove, Infopath, Onenote, Outlook, Powerpoint, Publisher and Word

Home and Student comprises:

Excel, Onenote, Powerpoint and Word.

There is also a licensing differences; Home and Student should only be used for non-commercial purposes.

Unaweza ku upgrade ila kwa mimi sijawahi kujaribu ku upgrade moja kwa moja kutoka kwenye student kwenda pro nilichofanya ni ku unistall student na kuweka pro ila najua inawezekana ku upgrade na swala la keys hata kama itahitaji keys zingine ndo hizo za pro ulizopewa hapo juu mwanzo!



Unaweza ku-upgrade moja kwa moja bila ya kuunistall ila uwe na Key ya Pro
 
Nilikwambia hapa ndo JF na forum ya wataalamu wa maelectronics, hakuna cha kuPM wala nn vitu hadharani, Asante mdau Mzalendo80, shukrani sana

Ni kweli mkubwa
Bravo JF!
 
Back
Top Bottom