Natafuta key ya ms office 2007

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
502
267
PC yangu nina ms word ya 60days only.
Nahitaji wa kunisaidia jinsi ya kupata key ya full license. Nitafurahi mkinisaidia mahali pa kuipata kwa bei nafuu.
Natanguliza shukrani.
 

Codezilla

Member
Sep 11, 2011
54
17
PC yangu nina ms word ya 60days only.
Nahitaji wa kunisaidia jinsi ya kupata key ya full license. Nitafurahi mkinisaidia mahali pa kuipata kwa bei nafuu.
Natanguliza shukrani.
Hi ninayo Key ya Microsoft 2007 full lincence..original
naweza kuku PM if you want
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Hii mbona inakataa mkuu?
jaribu hizi:
C8YM3-FQBY6-JFH7T-RPK76-D83Q8
TFHMB-KQBVV-DTXXR-VV9Q6-B4THW
M9TDW-XKJY2-CFWPR-TKDTH-V6DQ8
PR4WB-QHKCR-X32HR-CVF43-BP2VW
C68GR-DCVD7-M846Q-89X6V-2GJBJ
RYC72-GCCJ8-GX9WQ-QWHPM-YGPVW
JRJ8Q-2MGGV-HWKD8-W6QC4-KP7D8

zikigoma sema nikuongeze...:photo:
 

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
502
267
Mkuu Sijui Nini, asante kwa msaada wako, ila zote zimegoma. Unaweza kuangalia error msg ninayoipata.
Tafadhali nipe alternatives.
Thanks

key.jpg
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
1,334
TT3M8-H3469-V89G6-8FWK7-D3Q9Q
V896H-YQG24-DDH4P-C9DYJ-KQVR6
QWJPF-2W3DM-V2X3F-9H7WH-CFCVW
K3GFK-PBHXT-DG3F2-VXY6B-MKQ6B

Ikishindikana wasubiri wanafunzi wenza mje mpeane darasa
 

Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,676
33,256
Hiyo key utaipata hapa na wala hutohitaji kulipa, anayekuambiwa umPM fanya hivyo lakini kama atataka kukudai mafeweza achana naye watu watakufanyia mambo hapa bila gharama, hii ni JF
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Mkuu Sijui Nini, asante kwa msaada wako, ila zote zimegoma. Unaweza kuangalia error msg ninayoipata.
Tafadhali nipe alternatives.
Thanks

View attachment 39157

nilizokupa mwanzo zote zilikuwa ni za PRO...haziwezi kukubali ka student...labda jaribu hiyo link niliyokupa hapo juu au hizo keys walizotoa wengine...ukishindwa kabisa tafuta PRO mkuu...kwanza ndo ipo poa kuliko student!!
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Sasa mkuu, nimepaona nimeona ms2007 natakiwa kulipa some amount, hebu nisaidie hawa jamaa nikilipa napata key kweli?
Asante
mkuu haina kulipia hapo...we ingiza neno microsoft office student 2007 kwenye sehem ya kusearch then itakuletea majibu ya link mbalimbali fungua hizo link(results) mojamoja utakuta keys zinazokubali...
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Sasa mkuu, nimepaona nimeona ms2007 natakiwa kulipa some amount, hebu nisaidie hawa jamaa nikilipa napata key kweli?
Asante
mfano mi nimepata hizi jaribu:
WQ27D-PY77P-R9CQK-MCPPB-QGJYQ
JWR9T-HFR92-74RQ7-3FRMB-CY676
HBC66-D6YR7-CRP7H-T8VP4-99PMW
B4MKP-KP9YP-7TBQ4-7T4XF-MTGWY
TXF6Y-H24H8-H8YHX-46DY2-HCPCD
RBRT6-KV6YX-687MH-34HKG-97HR3
DDY79-433JV-2RXGX-MQFQP-PFDH8
WRGJQ-2J2HB-8XP8D-6J2YK-BMFFD
HX2HC-MJM6Q-4487F-23FMP-9VKV8
HX2DJ-36TJX-CRVRJ-C72Q8-CJTBQ
V82W3-BM72R-XRHWG-CP69F-4FPMT
VHGFG-FVMY3-HHP46-RXVDJ-8R6BY
TC2QP-QBCP7-WQ62V-WBF92-WWG73
WQ27D-PY77P-R9CQK-MCPPB-QGJYQ

 

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
502
267
jaribu hii
ddy79-433jv-2rxgx-mqfqp-pfdh8use ikishindikana Upgrade to Pro

Wakuu Mzalendo80 na Sijui nini nawashukuru sana, key imeitika. Asanteni sana wakuu kwa msaada wenu. Mi si mtaalum wa computer so was blind about this. Asanteni sana, hii ni kama mmechangia shule yangu iende vizuri. Mbarikiwe

Swali la mwisho wakuu, hivi ukiwa na MS office 2007 student, kuna tofauti gani na hiyo pro? hasa kama natumia kwenye laptop yangu? kuna kitu nakosa?
Na je hii key ina maana sitahitaji ku-upgrade tena.
Mbarikiwe
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Wakuu Mzalendo80 na Sijui nini nawashukuru sana, key imeitika. Asanteni sana wakuu kwa msaada wenu. Mi si mtaalum wa computer so was blind about this. Asanteni sana, hii ni kama mmechangia shule yangu iende vizuri. Mbarikiwe

Swali la mwisho wakuu, hivi ukiwa na MS office 2007 student, kuna tofauti gani na hiyo pro? hasa kama natumia kwenye laptop yangu? kuna kitu nakosa?
Na je hii key ina maana sitahitaji ku-upgrade tena.
Mbarikiwe

There are two major differences; there are more programs in Office Pro:

Access, Excel, Groove, Infopath, Onenote, Outlook, Powerpoint, Publisher and Word

Home and Student comprises:

Excel, Onenote, Powerpoint and Word.

There is also a licensing differences; Home and Student should only be used for non-commercial purposes.

Unaweza ku upgrade ila kwa mimi sijawahi kujaribu ku upgrade moja kwa moja kutoka kwenye student kwenda pro nilichofanya ni ku unistall student na kuweka pro ila najua inawezekana ku upgrade na swala la keys hata kama itahitaji keys zingine ndo hizo za pro ulizopewa hapo juu mwanzo!


 

Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,676
33,256
Nilikwambia hapa ndo JF na forum ya wataalamu wa maelectronics, hakuna cha kuPM wala nn vitu hadharani, Asante mdau Mzalendo80, shukrani sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom