Msaada: nahitaji kufahamu bei ya mafuta ya kupikia na jinsi ya kupata.

Salaam wakuu.

Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mafuta ya kupikia kwa jumla sasa nilikuwa nahitaji kufahamu bei zake zipoje na jinsi ya kupata kuanzia lita 1 ,3,5,10 na 20 iwe KORIE, AZANIA AU SAFI nipo MTWARA.

NATANGULIZA SHUKRANI.
Una mtaji kias Gani? Wewe uende godauni la murzah Wilmar au kitumbini. Pia unaweza kuangalia taratibu za mta dao wq sarafu
 
nafikiri ukienda kwenye maduka ya jumla unapata Korie mara ya mwisho Lita 20 ilikuwa ni elfu 90, huku Kigoma Mawese lita 20 ni elf 40 tu yaani lita moja ni elf mbili. Ukihitaji mawese tufanye biashara
 
Back
Top Bottom