Natafuta shamba Fukayosi, Kiwangwa au maeneo ya jirani

Yelawolf49

Member
Sep 20, 2017
73
65
Habari wanajamvi,
Natafuta shamba eka 15+ maeneo ya Fukayosi, Kiwangwa na jirani na huko. Requirement liwe linafikika kwa gari hata kipindi cha mvua na pawe na uhakika wa maji ya kuchimba kwa kisima, nina idea ya investment ya muda mrefu ya kilimo na ufugaji, heka bei iwe 200-250k per heka, tafadhali kwa mwenye nalo au anaeweza nipa connection nitashukuru.

Natanguliza shukrani.
 
Ntapata kwa bei gani
MASHAMBA YANAUZWA BAGAMOYO

Location: FUKAYOSI

Umbali: 5 km kutoka msata road (rami)
30km kutoka bagamoyo mjini

Bei:
Cash 1,500,000 kwa hekari
Awamu 1,900,000 kwa hekari (miezi 6)

Note: Lipia Tzs 300,000 kila mwezi

Sifa za mashamba

Hekari 1 na kuendelea
Barabara zinapitika wakati wote
Yapo karibu na makazi ya watu
Ukinunua tunakupa na hati ya kijiji

For more details and viewing kindly contact us through
Call/SMS/Whatsapp: 0686601716

Visit our office at Ubungo plaza, katambe street opposite kkkt church
 
Mmh!! Kwahiyo mkuu kwa mahesabu yako wataka heka 15, kwa 3m kiwangwa hiyo hiyo, kumbe Tanzania maisha ni simple.
 
Habari wanajamvi,
Natafuta shamba eka 15+ maeneo ya Fukayosi, Kiwangwa na jirani na huko. Requirement liwe linafikika kwa gari hata kipindi cha mvua na pawe na uhakika wa maji ya kuchimba kwa kisima, nina idea ya investment ya muda mrefu ya kilimo na ufugaji, heka bei iwe 200-250k per heka, tafadhali kwa mwenye nalo au anaeweza nipa connection nitashukuru.

Natanguliza shukrani.
Kuwa makini sana hizo bei zako utapigwa ndugu yangu. Tafuta hela kwanza
 
MASHAMBA YANAUZWA BAGAMOYO

Location: FUKAYOSI

Umbali: 5 km kutoka msata road (rami)
30km kutoka bagamoyo mjini

Bei:
Cash 1,500,000 kwa hekari
Awamu 1,900,000 kwa hekari (miezi 6)

Note: Lipia Tzs 300,000 kila mwezi

Sifa za mashamba

Hekari 1 na kuendelea
Barabara zinapitika wakati wote
Yapo karibu na makazi ya watu
Ukinunua tunakupa na hati ya kijiji

For more details and viewing kindly contact us through
Call/SMS/Whatsapp: 0686601716

Visit our office at Ubungo plaza, katambe street opposite kkkt church
Haya yapo Kijiji kipi?
 
Awe makini sana. Utapeli ni mkubwa mno huko
Utapeli wa ardhi bagamoyo ni mkubwa mno,hata kwenye huu uzi tayari kuna mijizi na mitapeli imeingia humu na kuhaminisha watu hayo maeneo unapata heka kwa laki 2 ili watu waingia chaka wawapige,take care folks
 
Back
Top Bottom