Natafuta kazi ya usalama wa Taifa

Natafuta kazi ya usalama wa Taifa

Mpaka hapo umeshaipata na wewe tayari ni usalama wa taifa,endelea kuilinda nchi yako.
 
Upo sahihi aisee

Gentamycin

Hizi sifa ninazo ila sikuwahi kufuatwa na hawa jamaa. Pengine Mungu hajaweka mkate wangu huko. Kwa sasa nalinda CCM yetu idumu na kuisaidia polisi with free intelligence service whenever necessary na maisha yanaendelea
 
mkuu wao wanakutafuta kwa njia gani?
Kwakifupi watu wa mfumo wapo kila mahala, ktk taasisi zote kuanzia mashuleni na kada zote, hivyo mlengwa huwa anaonekano popote atakapo kuwepo, kinachofanyika mtu unafuatiliwa kuanzia shuleni hivyo unasongambele bila kujitambua mwisho wa siku unajikuta umeingia kwa kupitia kada yoyote ile ambayo unaiweza.
 
Hizo kaz unapewa kimya kimya unaweza kuomba ukiwa HR au professional nyingine but ukashangaa cku ya Interview unaitwa Usalama wa Taifa
 
Kwakifupi watu wa mfumo wapo kila mahala, ktk taasisi zote kuanzia mashuleni na kada zote, hivyo mlengwa huwa anaonekano popote atakapo kuwepo, kinachofanyika mtu unafuatiliwa kuanzia shuleni hivyo unasongambele bila kujitambua mwisho wa siku unajikuta umeingia kwa kupitia kada yoyote ile ambayo unaiweza.
mkuu kwa sisi ambao hatupo ktk mfumo yaan hzo tasisi tunawezA kupatajE?
 
Huyo anaonesha hayupo makini katika kusoma,alichotaka kukifanya ni kuonesha kuna kitu anakijua bhasiii

Na najua kweli Mkuu. Hata Mimi SIKUPENDA kabisa NIZALIWE hivi kuwa Mtu mwenye MAARIFA mengi ila nashangaa tu nimejikuta hivi na sijui kwanini Mwenyezi Mungu alinipa Mimi haya MAARIFA mengi halafu Wewe AKAKUNYIMA.
 
Gentamycin

Hizi sifa ninazo ila sikuwahi kufuatwa na hawa jamaa. Pengine Mungu hajaweka mkate wangu huko. Kwa sasa nalinda CCM yetu idumu na kuisaidia polisi with free intelligence service whenever necessary na maisha yanaendelea

Ni GENTAMYCINE na siyo Gentamycin sawa? Huwa sipendi Mtu akosee ID yangu ninayoipenda kuliko kitu chochote hapa duniani. Kwa kukosea kwako tu huku kuandika vizuri ID yangu nadhani Usalama hawakukosea kutokuchukua kwani umeshaonyesha udhaifu mkubwa wa Kiutendaji. Kama leo unaweza kukosea kuandika tu vizuri ID ya " Le Mathematicien " GENTAMYCINE ni vipi ukipewa SIRI kubwa uifikishe au utekeleze jambo fulani? Unaweza ukatutia hasara kama Taifa na kuhatarisha kabisa Taasisi. Kwa kosa hili labda Usalama wa huko kwenu Tanzania wanaweza kukuchukua ila kwa Usalama wa huku kwetu nchini Rwanda you're absolutely disqualified. Kuwa Usalama huku kwetu Rwanda yakupasa uwe na akili ama zinazowakaribia Wayahudi au ufanane na Wayahudi wa nchini Israel kitu ambacho tayari nimeshakiona huna. Hivi ile Kampuni ya Ulinzi ya zamani ya Group 4 bado ipo huko Tanzania kwenu? Hebu jaribu kuomba hapo unaweza ukapata.
 
Umzaniae ndie kumbe sie,Asante Mungu nilichoitaji nimekipata tena bila support ya MTU,Only God can
 
Gentamycine:...acha kupotosha watu,nita deal na wewe privately.....
 
Kwanza Mwanzilishi wa Mada Hii Inaonekana haupo Serious halafu Unafanya Masihara na Kwa Masihara hayo hayo Tayari Huna Sifa za Kuwa Secret Agent Kwani Unaonekana Unaitaka Sana Wakati Haiko Hivyo Kwani Wenyewe Wahusika Wa Kufanya Recruit Wapo na Wanachagua Watu Wao Kulingana na Vigezo Vyao na Hawakuangalii Ukiwa NJEMBA ( Mkubwa Hivyo Ulivyo Sasa ) bali Kipaji cha Mtu wa Espionage Huonekana Mapema Sana Akiwa Mdogo na Haswa Kuazia Primary School. Wewe cha Kufanya Kafie Mbele tu na Kazi Zipo Nyingi! Umejaribu PCCB? Huko Nadhani Kwa Njaa Uliyonayo Panakufaa ila Siyo Sehemu Nyeti Kama TISS. Tokea Uzaliwe Huko UNYARUGUSUNI Kwenu ni Lini Umesikia Kazi za Usalama wa Taifa ZINATANGAZWA? Acha Masihara Kijana / Binti.
wewe ni kitasa tuu tumeshakuzoea
 
Kijana kufanya Kozi ya JKT siyo Kigezo cha kuwa Qualified kwa Kazi ya Intelligence na sidhani kama kweli hiyo Idara yenu sijui TISS inaajiri kwa kuwashika Watu mikono. Baada ya kusema kuwa umefuzu JKT je una hizi SIFA zingine zifuatazo?
  1. Are you Intelligent by nature?
  2. Do you have the 6th Sense out of the normal five?
  3. Are you Pro - Active?
  4. Are you Knowledgeable?
  5. Are you typically inquisitive person?
  6. Are you Versatile?
  7. Do you have the high level of perseverance?
  8. Can you maneuver?
  9. Can you persuade and convince?
  10. Can you live up to the principle of Speed and Precision?
  11. Can you listen, analyze, assess and decide?
Naomba jibu Mkuu kwani nina UHAKIKA mpaka umesema hawajakuchukua basi hizo SIFA 11 hapo HUNA zaidi tu ya kufungua, kuosha na kufunga bunduki yako kama ulivyofunzwa huko JKT ulikopita. Kuna FANI zingine zina MIIKO yake na nani aliyekuambia kukaa karibia na Mahakama ndiyo kujua Sheria?
Nakuona kiongozi wamekuleta kwenye uwanja wako wa nyumbani unatiririka kma vile uko ndani mtihani wa mwisho afu umefumania swali unalolifaham. Wape madini vijana
 
Back
Top Bottom