Watu wanajua hzo kazi zinapatikana kama ubuyu, mm nna age ya 22 but jkt tupu nmekosa nafasi na cfa zote ninazo, na najua sababu cna wa kunishika mkono,sembuse y yy aende TISS kama anaenda Slipway kupunga upepoWacha We!
Watu wanajua hzo kazi zinapatikana kama ubuyu, mm nna age ya 22 but jkt tupu nmekosa nafasi na cfa zote ninazo, na najua sababu cna wa kunishika mkono,sembuse y yy aende TISS kama anaenda Slipway kupunga upepo
Aisee nazani hukunielewa kwenye my previous commentKijana kufanya Kozi ya JKT siyo Kigezo cha kuwa Qualified kwa Kazi ya Intelligence na sidhani kama kweli hiyo Idara yenu sijui TISS inaajiri kwa kuwashika Watu mikono. Baada ya kusema kuwa umefuzu JKT je una hizi SIFA zingine zifuatazo?
Naomba jibu Mkuu kwani nina UHAKIKA mpaka umesema hawajakuchukua basi hizo SIFA 11 hapo HUNA zaidi tu ya kufungua, kuosha na kufunga bunduki yako kama ulivyofunzwa huko JKT ulikopita. Kuna FANI zingine zina MIIKO yake na nani aliyekuambia kukaa karibia na Mahakama ndiyo kujua Sheria?
- Are you Intelligent by nature?
- Do you have the 6th Sense out of the normal five?
- Are you Pro - Active?
- Are you Knowledgeable?
- Are you typically inquisitive person?
- Are you Versatile?
- Do you have the high level of perseverance?
- Can you maneuver?
- Can you persuade and convince?
- Can you live up to the principle of Speed and Precision?
- Can you listen, analyze, assess and decide?
Usisumbuke na utaratibu wa kazi hiyo hakuna anaeomba huwa wao ndio wanaotafuta wanaemuona anafaa, kwakifupi ktk mfumo huwezi kujiingiza huwa unaingizwa, ukiona haumo ktk hiyo kazi juwa huna sifa na vigezonaipenda sana nchiyangu, napenda sana kufanya kazi kama usalama wa Taifa katika nchi hii,lakin sijawah ona maombi ya kazi ya hawa usalama wa taifa nifanyeje napenda sana:dance:
Ni PMKwani huwa wanafanya kazi gani hao?,nami nije niombe?
Waeleze[emoji38] [emoji38] [emoji38]Kijana kufanya Kozi ya JKT siyo Kigezo cha kuwa Qualified kwa Kazi ya Intelligence na sidhani kama kweli hiyo Idara yenu sijui TISS inaajiri kwa kuwashika Watu mikono. Baada ya kusema kuwa umefuzu JKT je una hizi SIFA zingine zifuatazo?
Naomba jibu Mkuu kwani nina UHAKIKA mpaka umesema hawajakuchukua basi hizo SIFA 11 hapo HUNA zaidi tu ya kufungua, kuosha na kufunga bunduki yako kama ulivyofunzwa huko JKT ulikopita. Kuna FANI zingine zina MIIKO yake na nani aliyekuambia kukaa karibia na Mahakama ndiyo kujua Sheria?
- Are you Intelligent by nature?
- Do you have the 6th Sense out of the normal five?
- Are you Pro - Active?
- Are you Knowledgeable?
- Are you typically inquisitive person?
- Are you Versatile?
- Do you have the high level of perseverance?
- Can you maneuver?
- Can you persuade and convince?
- Can you live up to the principle of Speed and Precision?
- Can you listen, analyze, assess and decide?
Usisumbuke na utaratibu wa kazi hiyo hakuna anaeomba huwa wao ndio wanaotafuta wanaemuona anafaa, kwakifupi ktk mfumo huwezi kujiingiza huwa unaingizwa, ukiona haumo ktk hiyo kazi juwa huna sifa na vigezo
mkuu wao wanakutafuta kwa njia gani?Usisumbuke na utaratibu wa kazi hiyo hakuna anaeomba huwa wao ndio wanaotafuta wanaemuona anafaa, kwakifupi ktk mfumo huwezi kujiingiza huwa unaingizwa, ukiona haumo ktk hiyo kazi juwa huna sifa na vigezo
you got a point mkuuHebu jieleze hapa nini kimekuvutia na unadhani majukumu ya usalama wa taifa ni yepi. Usisahau kuanza na elimu yako.
Fanya utafiti kabla kuomba usichokijua ukajuta maishani. Nimekutana na watu wengi wapo polisi na majeshi mengine wamekata tamaa.muda umeenda.kutoka hawajui watafanya nini.
hujajua job,description ushataka uombe!Kwani huwa wanafanya kazi gani hao?,nami nije niombe?
Huyo anaonesha hayupo makini katika kusoma,alichotaka kukifanya ni kuonesha kuna kitu anakijua bhasiiiAisee nazani hukunielewa kwenye my previous comment
Umeona eeeh [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo anaonesha hayupo makini katika kusoma,alichotaka kukifanya ni kuonesha kuna kitu anakijua bhasiii