Natafuta kazi ya udereva, nina uzoefu na taksi mtandao na nina account zote

May 2, 2024
5
3
Habar za muda huu

Asalem aleykum.

Ndugu jama na marafiki nipo hapo leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote pia Nina uzowefu wa kufanya Kaz ya tax au mtandao bolt

Niko tayari kufanya mana hiyo kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.

Naomba msada wenu ukinisaidia namini umesaidia familia yangu pia na watu wanao nizungumka.

Naomba msaada wenu, namba zangu za simu.

0658673259
0658673259

Nitashukuru sana
 
Back
Top Bottom