King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 736
- 2,673
Habari?
Natafuta gari ya hesabu au mkataba kwa ajili ya biashara ya taxify ya mitandaoni, nina uzoefu wa kutosha kwenye kada hii,leseni yangu ni hai na halali kwa taratibu na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania.
Kwa mmiliki yeyote mwenye gari naomba unipe kipaumbele kwani hatojutia kufanya kazi pamoja na mimi.
Napatikana Dodoma mjini
Mawasiliano: 0654 486 097/ 0696 057 111.