Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Ndiyo matatizo ya wanafunzi kupewa 5min break...

Badala ya kupumzika ili akili ilirudi kwenye usawa, anaanza kurumbana na wakubwa zake....

Hebu mwambie teacher gfsonwin akupe hiyo certificate kama bado una hamu ya kuichungulia...

Kaaaaaaahhhh....wengien bila kufinywa hamuelewi??

Babu DC!!

Hahhhahaha Babu leo nimegundua kuwa Da Mkubwa Fixed Point mkorofi khaa.........na pia nimegundua wengine huwa mnatuonea angekuwa MwanajamiiOne hapa angeshafinywa zamani.......................
 
Last edited by a moderator:
Ushakuwa kama wanasiasa ambao wanabisha kitu ukiwaletea picha kudhibitisha wanadai ni photoshop.

Certificate yangu ni genuine, tena imekuwa certified na third party kuwa ni ya ukweli kabisa.

That's my word...

Huyu Fixed Point ana ajenda yake ya siri..lol,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha kumalizana kimya wala nini....

Ukweli unaujua....

Umeshapata tano bora...kachape kitabu mdogo (mdodo) wangu...

Babu DC!!
unafikiri nakubali kirahisi babu?
labda gfsonwin aje anithibitishie..... yeye namwamini.....
ila hala hala gfsonwin, usipoteze huu uaminifu niliokupa, ole wako upokee rushwa kwa babu....
cc. EMT... wewe nawe nitakubali tu hicho cheti ni cha kweli kama Paw akija kuthibitisha pamoja na King'asti akiwa shahidi, otherwise evidence out....
 
Last edited by a moderator:
Hana lolote huyu...

Atakuwa amefaulu test sasa anashangilia kwa kuwachokoza wakubwa zake....


Babu DC!!
ha haaaa, umejuaje nimefaulu babu?
halafu kuna sababu nyingine, hiyo itabidi labda nikuambie chemba, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
unafikiri nakubali kirahisi babu?
labda gfsonwin aje anithibitishie..... yeye namwamini.....
ila hala hala gfsonwin, usipoteze huu uaminifu niliokupa, ole wako upokee rushwa kwa babu....
cc. EMT... wewe nawe nitakubali tu hicho cheti ni cha kweli kama Paw akija kuthibitisha pamoja na King'asti akiwa shahidi, otherwise evidence out....

Ngoja nikaanzishe uzi wa kushangilia ushindi.....

Wapi teacher gfsonwin amchape kiboko mtoto arudi class??

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikaanzishe uzi wa kushangilia ushindi.....

Wapi teacher gfsonwin amchape kiboko mtoto arudi class??

Babu DC!!!
ushindi kabla ushahidi haujatolewa?
au ndo mambo ya kupeana rushwa?
umeshajua mwalimu unamuweza?
unanipa wasiwasi ujue!
 
nimeshakushtukia wewe unataka kujua nyumri za watu humu lol!!

Umoena na wewe teacher eti......

Huyu kafualu lile some tishio ndo maana anataka kila mtu mjini ajue kwamba yupo..lol!!

Haya basi, mwambie apige shikamoo kwa kakake..!

Babu DC!!
 
Umepewa likizo?

Hebu kuwa mwangalifu usije kukaushwa sauti kama teacher...lol!!

Babu DC!!!

shoga yangu Fixed Point nikwambie pa kwenda kumwona huyu anayejiita babu??
halafu mwenyewe utasema anastahili shkamoo ama hastahili??
manake hapa naona kaja na gia ya uchokonozi kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom