Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

kaka wewe ni mgeni hapa Yerusalemu?
kakake Nicas Mtei kamuwowa dadako snowhite
hukupewa fwika?
Makubwa basi, shikamoo shemeji Nicas Mtei, ila si unajua taratibu za kwetu hazikufuatwa hasa ile ya mwowaji kupewa shamba alilime kuthibitisha kuwa uwezo wa kumlisha dada yetu anao. Nilipofika pale kwetu Luhagala sikuona ploti aliyolima bwana Nicas Mtei, au amemchukua makunja?
 
Da Mkubwa, ukijua kupokea jua na kutoa pia, its not fair kupokea tu.................... please kuwa mtiifu.
mdogo wangu utiifu mwingine mgumu ujue!
yaani sijazoea kabisaaaaa, ndo nianzie uzeeni huku?
 
Makubwa basi, shikamoo shemeji Nicas Mtei, ila si unajua taratibu za kwetu hazikufuatwa hasa ile ya mwowaji kupewa shamba alilime kuthibitisha kuwa uwezo wa kumlisha dada yetu anao. Nilipofika pale kwetu Luhagala sikuona ploti aliyolima bwana Nicas Mtei, au amemchukua makunja?
taratibu zilipofanyika wee ulikuwa busy unamfukuzia Preta....
walitimiza kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Kama kweeeli kweeeli Fixed Point una miamka juu ya hiyo ya MwanajamiiOne basi SHKAMOO DADA yangu kipenzi nikupendae saaana. Ila as u said vigezo na masharti kuzingatiwaa. CHETI TAFADHALI
Hivi mkuu bado unaamini ktk vyeti. Bongo vitu vingi fake naogopa kusema kua itakua ngumu kupata vyeti halisi au kuujua umri halisi labda umpeleke kwa wataalamu wakampime ili kujua umri . Lakini angalia moyoni mwako ukiona unawiwa kumuamkia shikamoo basi fanya hivyo atakua anastahili. Umri wa MwanajamiiOne naamini upo chini kama alivyotaja ndivyo.
 
Hahahah Da Mkubwa Ablessed bahati mbaya mie sikuwa raised as a lady, si wanasemaga ladies are not supposed to disclose their real age? Mie I have just disclosed it..................... yes its 38 yrs ofcoz I don't look my age but that's me.
Shkamoo dada MwanajamiiOne....Ila km vigezo na masharti vimezingatiwa.
Da Mdogo KOKUTONA, usijali vimezingatiwa. Now Fixed Point, please your certificate to show that you deserve that 'shikamoo' from a near 40 yrs lady....................... I wont rest .....in peace until you have shown me ................I am waiting
 
Last edited by a moderator:
dada anaulizwa vyeti tangu lini?
unaleta formula ya tit for tat hapa?
marahaba mdogo wangu kipenzi, hujambo?

Ha ha haaaa dada umenichekesha.....izo terms of condition za upande mmoja dah.....

Dada mkali ww.. umenkumbusha dada yetu alikuwaga mkali, tukileta za kuleta alikwa anatufinyaje mashavu.

Mie sijambo dada yangu wa ukweli.
 
Da Mdogo KOKUTONA, usijali vimezingatiwa. Now Fixed Point, please your certificate to show that you deserve that 'shikamoo' from a near 40 yrs lady....................... I wont rest .....in peace until you have shown me ................I am waiting
mambo mengine watu wazima kama sisi tunamaliziana kimya kimya mdogo wangu Mwanajamiione, sawa?
trust me, wewe ni mdogo wangu, tena sana tu
 
Ha ha haaaa dada umenichekesha.....izo terms of condition za upande mmoja dah.....

Dada mkali ww.. umenkumbusha dada yetu alikuwaga mkali, tukileta za kuleta alikwa anatufinyaje mashavu.

Mie sijambo dada yangu wa ukweli.
ha haa, usipokuwa mkali madogo wanaweza kukuumbua, lol!
 
Mkuu huyu BC yangu nimemuonyesha anadai ni ya kuchonga ili mradi tu shikamoo zinitoke 🙂🙂

Mpe shikamoo yake mkuu naona ulitoka nadhani ulikua unatafakari namna ya kuianza. Nadhani sasa ndio wakati muafaka mpe haki yake mkuu.
 
Hahahah Da Mkubwa Ablessed bahati mbaya mie sikuwa raised as a lady, si wanasemaga ladies are not supposed to disclose their real age? Mie I have just disclosed it..................... yes its 38 yrs ofcoz I don't look my age but that's me.
Da Mdogo KOKUTONA, usijali vimezingatiwa. Now Fixed Point, please your certificate to show that you deserve that 'shikamoo' from a near 40 yrs lady....................... I wont rest .....in peace until you have shown me ................I am waiting
Umenifurahisha sana mdogo wangu MwanajamiiOne si vibaya kuwa muwazi hata mimi nimependa lol. Tena ni nzuri kusema ukweli kila wakati maana inaondoa kazi ya kuweka kumbu kumbu kama mtu muongo. Si unajuaga mtu akidanganya ni lazima awe expert ili asichanganye habari. Lkn nikutoe mashaka kuhusu Fixed Point wewe mpe tu shikamoo yake anastahili ondoa mashaka
 
Last edited by a moderator:
huo mbona nilishajiunga zamani mdogo wangu!
nashangaa tu siku hizi kimyaaaaaaaaaaaaaa........................ lol!
mwambie na mdogo wangu mwingine kipenzi Arabela ana wajibu wa kumsalimia dada mkubwa.... nasubiri salamu zake nje ya cc

Mkoloni kanibanaajeee...ila i will be available soon.

But i do remember u always...especially in my prayers.

Mdogo wangu Arabela dada yetu anakuita mpigie simu ana la kukawambia. Umesikia eeh mdogo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom