Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
NAOMBA KIBARUA MKUUZuri buti hapa Mwanza kuna kituo kinatumia initials zinazofanana na NFS kwa kiasi kikubwa.
Kipo hatua za mwishomwisho, kipo Usagara Mwanza. Natafuta Business name yake mkuu.
JB OIL SERVICE STATIONWadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
GALAXY PETROL STATION (GPS)Wadau habarini.

Wadau habarini.

UTEGI OIL Service Station au SILALI PETROL STATION ( SPS)Wadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Mkuu, unajuwa biashara kweli wewe?Hiyo utawapata vijana tu hasa wale wa bodaboda,lakini watu wazima na wanaojiheshimu hawatakuja kununua na hawatokuamini
PITIA FILLING STATION.Wadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
lakini utakuta katika ndoto zako za usiku unaota kiswahili...Milestone oil
Clean oil
Double oil
Black oil
Super oil filling station
Mandela Filling station
Falcon
Mkuu, unajuwa biashara kweli wewe?
Fupisha jina langu kituo kiitwe LUCKY PETROL STATION.Wadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Sky Oil imekaa vizuri■ Oildrop Filling station
■ Lakezone Filling station
■ safiri/safari filling station
■ Rush Filling Station
■ Speed Filling Station
■ NorthOil Filling Station
■ Jake Filling Station
■ Onedrop Filling Station
■ SafiOil Filling Station
■ SkyOil Filling Station
■ Sadan Petrol Station
■ OilTank or PureOil or OilBox
■ Oil-Shot, Oil-Point, FastOil
Mbona unajichanganya mkuu, wacha kukariri vitu vya kijiweni....nani aliyekuambia "Ingiza Toa" ni tusi, mbona hilo jina linaendana tu na biashara yako ya kituo cha mafuta "Ingiza Toa Filling Station?"najua sana kwenye biashara yoyote lazima uzingatie customer profiles ambao ndio walengwa wako,sasa huwezi kuniambia biashara kubwa kama ya petrol station uandike jina la matusi kama ya kwenye vibanda vya chipsi.
You are very wrong.
Mbona unajichanganya mkuu, wacha kukariri vitu vya kijiweni....nani aliyekuambia "Ingiza Toa" ni tusi, mbona hilo jina linaendana tu na biashara yako ya kituo cha mafuta "Ingiza Toa Filling Station?"