Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Hili vipi wakuu " Drive-Mo Oil" Service Station.
 
Mimi naomba kazi tu tusaidiane kuendesha gharama za maisha duniani apa[emoji120]
 
Kazi za menejment ustusahau mkuu lile jiwe kuu bado halijfanya maamuz juu yetu kwaio kokote kambi tupate kwa kuanzia na vijana wetu naomba kuwek mifumo ya kipesa mpesa airtel money tgo pesa crdb wakala nmb wakala nk
 
sio hili limekaa kihuni sana mkuu?
Katika biashara unatakiwa kuwa mtata kidogo ili upate wateja kwa wingi....ukitumia hili jina wateja watakuja kwa wingi kutaka kujuwa kwa nini unaingiza kisha unatoa, ni nini hiyo?
 
Pyramid Petrol Station
Kuwait Petrol station...uwashike waarabu
 
Hiyo utawapata vijana tu hasa wale wa bodaboda,lakini watu wazima na wanaojiheshimu hawatakuja kununua na hawatokuamini
Katika biashara unatakiwa kuwa mtata kidogo ili upate wateja kwa wingi....ukitumia hili jina wateja watakuja kwa wingi kutaka kujuwa kwa nini unaingiza kisha unatoa, ni nini hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…