Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.
kama umemuona humu chit chat ni wa kwetu wako akiwa kwako akiwa humu cha wote
Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.
kila la kheri bibie
kama umemuona humu chit chat ni wa kwetu wako akiwa kwako akiwa humu cha wote
Mbona hujibu PM..??
Wapi PM wewe?
Umemuona onaje?
Ama..!! hebu tizama vizuri connections zako inawezekana umedisable PM.. Nimekutumia hata dk 20 hazijapita au Mods hawataki niwe na wewe..??
Itume tena,nadhani kwa sababu nilikuwa sijafikisha post 5 PM ilikuwa disabled
Twawatakia maisha mema St. Paka Mweusi na Kavu Kuti kama mtakubaliana.
Mjomba taratibu mjomba,unanitakia maisha mema na mke wa mtu,au umesahau kuwa hapa mimi nitakuwa mwizi..??
kama umemuona humu chit chat ni wa kwetu wako akiwa kwako akiwa humu cha wote