Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,090
- 8,457
haahah sikuipata hiyo humu JF napo vipanga wengi sana..Maana yule mwamba aliniandama sana nilipokuja kuskia scandal ni tapeli sijui anaomba omba watu hela nikamkataa😅
haahah sikuipata hiyo humu JF napo vipanga wengi sana..Maana yule mwamba aliniandama sana nilipokuja kuskia scandal ni tapeli sijui anaomba omba watu hela nikamkataa😅
Eeh mzee sahizi tupo Daslinga tunapambania kombe tu!haahah sikuipata hiyo humu JF napo vipanga wengi sana..
Mi nataka nikajichanganye pori bhana, town mbona ramani zinanikataa..Eeh mzee sahizi tupo Daslinga tunapambania kombe tu!
Pori we nenda tu mkuu kama una mishemi nataka nikajichanganye pori bhana town mbona ramani zinanikataa..
ntakupa mrejesho one month mbele inshaallah..Pori we nenda tu mkuu kama una mishe
Niunganishe na hawa watu mkuuKabebe Unga Per trip unakula 10,000,000 yaani weak moja unatengeneza 10 milioni ukipeleka mara Kumi ushapata kamsingi. Duu Ila fikiria mara mbili risk nazo nyingi.
1. Kupasukia tumboni
2. Kukamatwa na kufungwa
3. Kuajiribia CV yako
Kila la heri kijana.
Heeeh jamaa yupo siliasiNiunganishe na hawa watu mkuu
Naona uliuliza Swali Kwa mtego flani hivi. HahahMkuu ID ulitumia hii hi ama? Ile ya October Man?
Haahahaha hii hii we jamaa mi sina ID nyingine acha kunisagia kunguni uchwara..
Nifunze kuwa hackerNdege waminya pumbu na bisibisi wapo kazini,jifunze kusumarize
unapoishi hakuna raia...je hakuna centre yoyote iliyochangamka..kujichanganya sio lazima utafute mabosi,wasomi au wafanyabiashara wakubwa..mkuu hata kwenda kwenye kahawa,draft,viwanja vya michezo ni mojawapo ya kugain network mpya itakyoweza kukupa hatua nyingine mbeleAsante sana mkuu tatizo sina sehemu ya kuanzia
Kama hayamsaidii sasa ya nini?Dogo unaenda kuyaweka marinda rehani maana si kwa kukata tamaa huko
Sasa wew uliipata vp?Mi
Mimi sio mpigaji ha ha ha nimejifunza toka misri na ugiriki / siitumii elimu hii Bali ninayo na hairithisiki Kwa mtu ni elimu kubwa mno.
Yes tunaishi mara moja tu, hatujui tuendako, ukipata dili la hela nyingi cheza tu. Marehemu hajui kilochopo duniani.Heeeh jamaa yupo siliasi
nani sasa mimi au ExtrovertNaona uliuliza Swali Kwa mtego flani hivi. Hahah
Kwahiyo unamshauri ayaingize sokoniKama hayamsaidii sasa ya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unamshauri ayaingize sokoni
unapoishi hakuna raia...je hakuna centre yoyote iliyochangamka..kujichanganya sio lazima utafute mabosi,wasomi au wafanyabiashara wakubwa..mkuu hata kwenda kwenye kahawa,draft,viwanja vya michezo ni mojawapo ya kugain network mpya itakyoweza kukupa hatua nyingine mbele