Natafuta deal ya pesa nyingi

Natafuta deal ya pesa nyingi

My bruh ukitulia pitia hii kutoka kwenye BIBLE


MHUBIRI 10:19
Karamu hufanywa kwa ajiri ya kicheko (furaha) , nao mvinyo hufurahisha maisha , lakini FEDHA ni jawabu la mambo yote......




My brother tafuta pesa wasikutishe maisha yanaanza baada ya kuwa na pesa ila usiue mkuu katika utafutaji wako..

Asante mkuu
 
Aangalie KWENYE movie za ughaibuni huko atajifunza michezo hiyo ya kikatili..watu mpaka bank wanaiba ila wanakuwa NI team yenye wataalam ma IT Wa kuchezea CCTV camera yaani wakali wote waliobobea kila idara mpaka ramani ya jengo la bank wanakuwa nayo wapi watatokea wakishachukua mzigo n.k




Sasa huyu madeal hayo hayawezi ye NI jeshi la mtu mmoja yafaa Kwanza awe mtumiaji wa madawa yatakayompa uchizi asiwe na huruma..avute bangi ikichanganywa na bandadu au valium vile vidonge akivuta mwezi tu anakuwa Kama panya road akivuta mwaka ndo anakuwa mkatili sugu wa kuiba mpaka madini anayoyasemea ila ndo silaha muhimu bastola awe nayo maana maboss nao wako Makini 24 hrs

Am in reality wewe upo kwenye movie umeona tulivo tofauti eh [emoji3][emoji3][emoji3]
 
hii ni barua ya kipemba kwa wahaya. Mleta mada usitegemee kupata ushauri wa maana hapa zaidi ya kejeli na kebehi.jf kwa sasa ina watu wa hovyo wengi kuliko members wenyewe[emoji28][emoji28][emoji28].

madili kama hayo hayapatikani hadharani ni ishu za kimya kimya kama wazee wa kaunda suti.Tengeneza network na watu waliofanikiwa waonyeshe utayari wako katika maisha. Lazima utapata kitu cha kujifunza.

Asante sana mkuu tatizo sina sehemu ya kuanzia
 
Unatuambia ulipata dhahabu? Ninavyojua dhahabu sio kama Tanzanite au Rubi au kito cha thamani chochote cha kusema umepata au umeokota. Dhahabu haikotwi. Dhahabu inakuwa extracted kutoka kwenye mwamba au mchanga wenye dhahabu. Dhahabu ni metallic element sio compound.

Najua vyote hivo mkuu na ninautalamu navyo unajua dhahabu ikishituka unapata hadi gram 100 kwenye mfuko wa mawe kg 50 kama unajua dhahabu utakuwa umenielewa
 
Nimeshangaa sana kwa sababu haiwezekani mtu yuko field tu(mazoezi kwa vitendo) ya miezi 2 halafu bin vuu amepata dhahabu kama vile kito cha thamani. Dhahabu inahitaji uwekezaji ili uweze kuchimba na kuextract.
Labda kama alianza kazi zake risk(wizi) siku nyingi. Aseme tu walimuibia mtu dhahabu yake.

Hapana mkuu wala sio wizi nimelijibu hilo pitia uzi hapo juu
 
Rasilimali na mtaji vyote alishatombea hapo alipo kabaki mbupu tu.
Shortcut ya haraka atafute connection na vijana wa magomeni/kinondoni wambebeshe zege tumboni, akifanikiwa kurudi salama tripu 2 tu na yeye ataanza kujiita don.

Mawazo yako pia mkuu
 
Kweli mkuu hata me naona wachimbaji TU wadogo wanavyoitafuta gram kwa mateso nikiwa site tunaenda mto mmbwemkuru uko nachingweA naona wakichimba mchanga na kuuchuja kwa kuumwagia maji na Mercury wanatumia.kweli dhahabu sio jiwe kusema utalikuta ardhini.

Unaweza pata pure gold inategemea unachimbia wapi hujawahi kuona? Lakini siwezi kubishana maana naona huna utalamu wowote juu ya gold
 
Angalia kijana usije kuwa Kama yule jamaa na binti waliouwa wazazi wao kisa Mali kule Kilimanjaro na Arusha, hiyo akili na skills ulizo nazo tumia kujikwamua kiuchumi.
Kinachokusumbua ni tamaa ya Mali ,ishi maisha yako ,stay positive,acha wivu na kuiga watu.
Over.

Siishi maisha ya mtu wala kumuiga mtu ndio maana nimeamua hivo
 
Unaweza pata pure gold inategemea unachimbia wapi hujawahi kuona? Lakini siwezi kubishana maana naona huna utalamu wowote juu ya gold
Kweli asee Sina utaalam huo Kama unavyosema...sema NIni kwanini usijaribu hata miezi sita kukomaa kwenye machimbo huenda unapata jiwe unatusua
 
Habari za muda huu wana jf.
Mimi ni kijana mtanzania, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu ni kidato cha sita, umri wangu ni miaka 27.

Nisingependa kuwachosha sana naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,

Natafuta kazi au deal yeyote halali au haramu kigezo iwe na kipato au ujira mkubwa, hii nadhani inetokana na kuwahi kumiliki pesa nyingi na zikapotea bila kukamilisha mipango na malengo yangu.

Niliwahi kumiliki pesa nyingi kipindi nipo na miaka 21 hadi 24 na pesa hizo nilitafuta mwenyewe sio kwa kurithi, kudhurumu au kuiba.
Najua wengi mtashangaa na mtanishauri nitumie njia ile ile kupata hizo pesa lakini kwa sasa naona itachikua miaka mingi sana au isiwezekane kabisa.

Njia iliyotumika kupata fedha nyingi,

Niliwahi kusoma chuo cha madini hivyo nina uelewa kiasi kuhusiana na madini especially gold, Wakati nipo chuo mwaka wa pili tulipangiwa field, wakati nipo field nikabahatika kupata dhahabu kiasi ambayo niliiuza na kupata fedha nyingi kwangu, ikapelekea chuo sikumaliza ndio maana nasema nina elimu ya kidato cha sita.

Lakini pia njia hii ilikuwa kama bahati kwa upatikanaji wa fedha hizo ndio maana siwezi kuitumia tena kutafuta pesa nyingi.

Mimi binasfi kutokana na uelewa wangu na kutembea kwangu nimegundua, kazi nyingi haramu au deal nyingi haramu zinaingiza pesa nyingi sana. Ukizingatia pia zina risk kubwa pia ni kama third law of motion ya sir Isack Newton (for every action there is equal and opposite reaction)

Lakini kutokana na kutembea kwangu, akili yangu, skills zangu na efforts zangu nimejiandaa kiakili na kisaikolojia kutafuta deal yeyote ya kuingiza pesa nyingi sana kuanzia sasa.

Najua kuna kusalitiana, kuua au kuuliwa, kukamatwa na kupewa adhabu kali au kuhukumiwa kifungo cha maisha, but am ready with all that maana nimeckoka maisha haya.

NB:
Sio mzuri sana kwenye uandishi lakini nadhani nitakuwa nimeeleweka na kama unaswali au ushauri unakaribishwa
(Nawasilisha)
Mkuu ukipata hilo dili tushirikishane tupige pesa
 
Kwenye madini ndo sehemu rahisi ya kupata pesa nyingi za haraka haraka kuliko sehemu nyingine.Uzuri unaelimu ya madini

Zama zimebadilika kaka hususani kwenye dhahabu inahitaji mtaji mkubwa kufanya mambo yako na pia kwa usimamizi makini kuanzia duarani unapochimba, mashimeni unaposaga kuosha na kukamatisha utoke uende plant then ellution na mwisho sokono dhahabu ni adhabu
 
Bank sio rahisi kihivyo
Pesa haijawahio kupatikana kirahisi, mzee!! Na hata kama unadai sio rahisi kihivyo, bado watu wanapiga matukio huko huko!!

Man, nahisi kama una karoho ka kwanini flani hivi kuona mwana atatusua na kuwa na mimawe kama zamani!

Hoya Luck Good,

Mchawi wako huyu hapa!! Mi nakupa mchongo halafu jamaa anaanza kusaga kunguni! Usimsikilize! We unda tu kajeshi kako ka watu kadhaa, na baada ya hapo, kila mmoja anapewa kitu cha moto, trust me, hakuna benki itakayokushinda!

Tena kama vp, yule jamaa anaweza kuwakodishia hata mabomu ya kurusha kwa mkono! Mkikaribia benki, mnarusha kimoja kwenye kibanda cha polisi, baada ya hapo, benki yote ya kwenu!
 
Back
Top Bottom