Watoto kama wewe ndio mnajikuta mnaachia jich
Kaka umesema unataka hela halali au haramu. Nikakuambia nenda Zenji hapo. Unapigwa paipu hela unapewa au ulikuwa unamaanisha nini unaposema haram chief?Kila kitu bure unamaana gani sijakuelewa hapo
Anamaanisha ukifika kule tu tayari shida zako zote za huko nyuma utatatuliwa
Wapemba ni wakarimu sana hasa kwa wageni kutoka bara yaani we nenda na nauli ya kwenda tu ukifika kila kitu utalipiwa
Kabebe Unga Per trip unakula 10,000,000 yaani weak moja unatengeneza 10 milioni ukipeleka mara Kumi ushapata kamsingi. Duu Ila fikiria mara mbili risk nazo nyingi.
1. Kupasukia tumboni
2. Kukamatwa na kufungwa
3. Kuajiribia CV yako
Kila la heri kijana.
Ww mwanaume mpambanaji akigusiwa kitu tu anamaliza mwenyewe kijana Tafuta connection mbona hao Jamaa wanajulikana hapo Dar wapi Sinza wapi Kinondoni Ila uwe serious Tu na unachotaka.Naitapaje hii mkuu na asante kwa ushauri pia
Usimuhukumu mwenzio kijana huwezi kuwa na Hela ndefu eti kisa unafumuliwa marinda.Huyu ni shoga anataka kufumluliwa marinda, kama yapo
Usemacho ni kweli mm mwaka wa mwisho chuoni nilikuwa naingiza 800,000 mpaka milioni Kwa mwezi hanasa kwenda mbele totoz zote za chuo zilikoma baada ya kumaliza sasa shida kama zote ule upepo sijui ulienda wapi Maisha yamekuwa siyo kabisa.maisha ya chuo pindi uko field unaweza shika pesa nyingi sana, maliza chuo ujionee uhalisia sasa!
Kila la heri Luck Good