Natafuta deal ya pesa nyingi

Natafuta deal ya pesa nyingi

Ni ujambazi utakufaa..unga mpaka uwe na connection na watu hao na kusalitiana kwingi...fanya mambo kisayansi Kama KWENYE movie za mambele..andaa gari,silaha


Sehemu zenye hela
Petrol station
Maduka ya kufanya miamala nmb,crdb wakala,mpesa n.k
Bar and night club


Note:hizi deal NI michongo ya pesa ya kawaida million nne,tatu it depends



Ila Kama unataka deal kubwa za million 100 na kuendelea basi itakuwa ngumu maana watu siku hizi hawatembei Sana na cash.....





Deals NYINGINE lazima uwe na connection na wahusika maana hata ukipewa Sasa hivi mzigo wa pembe za ndovu huwezi kujua uanzie wapi kuingiza pesa utamuuzia nani?kwa hiyo kama kweli uko tayari kuzama chaka la national Park basi andaa Kwanza mazingira na wadosi wa kazi hizo na me sijui wanapatikana wapi..

Note usiwe na huruma Kama silaha unayo basi ukiingia porini ukakutana na wale games Askari basi usiulize unaua ua wote kmninazao..
[emoji28][emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuwaza kama wewe lakini baadae nikaja kugundua njaa na tamaa ni vitu kibaya sana, by the way utu wako ni Bora kuliko hizo pesa, tafuta shughuli halali hata kama Ina kipato Cha kawaida then Muombe Mungu atakusaidia utaweza kuridhika na ulicho nacho.
 
Miaka 27 umechoka maisha?...usipokuwa makini utavaa kimau fara wewe....

Who told you nimechoka maisha? Sema siwezi kukupangia nini cha kufikiri na kipi uache you have rights to think whatever, Then nipo makini kuliko neno lenyewe pia usiniite fara coz hunijui . Period
 
Niliwahi kuwaza kama wewe lakini baadae nikaja kugundua njaa na tamaa ni vitu kibaya sana, by the way utu wako ni Bora kuliko hizo pesa, tafuta shughuli halali hata kama Ina kipato Cha kawaida then Muombe Mungu atakusaidia utaweza kuridhika na ulicho nacho.

Asante mkuu then we are differ kimtazamo na itikadi, kwako ilikuwa njaa na tamaa kwangu ni tofauti. Kwenye uzi nimeandika halali au haramu nadhani wewe imebase kwenye upande mmoja then kihusu Mungu namuomba sana
 
Wanaume mnawaza kufiranah tu.
Ukizaliwa mwanaume Pambana, mtu ana miaka 27 anatafuta maisha malaini kwa njia halali au aharamu unataka jamii imueleweje? Maisha malaini ni kuwa mama wa nyumbani asiyejishughulisha kwa chochote, subiri mwanaume akapambane aje akuhudumie
 
Habari za muda huu wana JF.
Mimi ni kijana mtanzania, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu ni kidato cha sita, umri wangu ni miaka 27.

Nisingependa kuwachosha sana naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,

Natafuta kazi au deal yeyote halali au haramu kigezo iwe na kipato au ujira mkubwa, hii nadhani imetokana na kuwahi kumiliki pesa nyingi na zikapotea bila kukamilisha mipango na malengo yangu.

Niliwahi kumiliki pesa nyingi kipindi nipo na miaka 21 hadi 24 na pesa hizo nilitafuta mwenyewe sio kwa kurithi, kudhulumu au kuiba. Najua wengi mtashangaa na mtanishauri nitumie njia ile ile kupata hizo pesa lakini kwa sasa naona itachukua miaka mingi sana au isiwezekane kabisa.

Njia iliyotumika kupata fedha nyingi,

Niliwahi kusoma chuo cha madini hivyo nina uelewa kiasi kuhusiana na madini especially gold, Wakati nipo chuo mwaka wa pili tulipangiwa field, wakati nipo field nikabahatika kupata dhahabu kiasi ambayo niliiuza na kupata fedha nyingi kwangu, ikapelekea chuo sikumaliza ndio maana nasema nina elimu ya kidato cha sita.

Lakini pia njia hii ilikuwa kama bahati kwa upatikanaji wa fedha hizo ndio maana siwezi kuitumia tena kutafuta pesa nyingi.

Mimi binasfi kutokana na uelewa wangu na kutembea kwangu nimegundua, kazi nyingi haramu au deal nyingi haramu zinaingiza pesa nyingi sana. Ukizingatia pia zina risk kubwa pia ni kama third law of motion ya sir Isack Newton (for every action there is equal and opposite reaction)

Lakini kutokana na kutembea kwangu, akili yangu, skills zangu na efforts zangu nimejiandaa kiakili na kisaikolojia kutafuta deal yeyote ya kuingiza pesa nyingi sana kuanzia sasa.

Najua kuna kusalitiana, kuua au kuuliwa, kukamatwa na kupewa adhabu kali au kuhukumiwa kifungo cha maisha, but am ready with all that maana nimechoka maisha haya.

NB:
Sio mzuri sana kwenye uandishi lakini nadhani nitakuwa nimeeleweka na kama una swali au ushauri unakaribishwa
(Nawasilisha)
Kifo kinakuita,Trust me okoka haraka uachane na Dhambi Kisha mtwishe Mungu shida zako, utafanikiwa tu, ukiendelea na hayo mawazo miaka 40 itakukuta kaburini,nenda Kawe ukaombewe utafunguliwa na kujitambua
 
Back
Top Bottom