Usemacho ni kweli mm mwaka wa mwisho chuoni nilikuwa naingiza 800,000 mpaka milioni Kwa mwezi hanasa kwenda mbele totoz zote za chuo zilikoma baada ya kumaliza sasa shida kama zote ule upepo sijui ulienda wapi Maisha yamekuwa siyo kabisa.
Nipe namba yako faster. Kuna mzigo mdogo tu wa kilo moja ya sembe. Nataka uufikishe kwa Shii Jii piing! Utakula kamisheni ya dola elfu 2 hivi. Baada ya hapo utaenda Saudi Arabia kupeleka mzigo mwingine. Huko kuna dola elfu 4.
luck Good, na mimi nitakuwa kwenye genge lako tuyajenge jinsi ya kupata hiyo pesa ndefu...Asante japo nimefikiri zaidi ya miaka miwili
Hapa JF watu mna mizaha kweli,
sasa jamaa kasema anataka mchongo wowote halali au halamu,
cha ajabu watu mnamwambia eti kuna jela, kwani mpaka anasema anataka mchongo halamu hajui kuwa kuna jela? mbona swala la jela ameshaligusia?
au mnadhani yeye atakuwa wa kwanza kwenda huko jela?
si bora yeye ataenda jela kwa kosa alilofanya?
si kuna watu wamepewa kesi za uongo na wanaozea jela?
kwanini yeye asijaribu bahati yake?
mimi nafanya shughuli ambazo zinanipatia hela ya kula na kulipa kodi, lakini muda wote nafikiria sana nianzie wapi ili nipate mchongo wa hela ndefu.
kuna watu wanaona kuua kama inshu kubwa sana, lakini watu tunatofautiana sana, mimi sioni kama kuua ni jambo kubwa kiasi hicho.
isitoshe wakuu umasikini ni mbaya sana, inabidi mtu uupinge kwa nguvu zote, ikiwezekana cheza hata michezo ya kifo.
maisha bila hela ni bure.
mkuu kama ukifanikiwa kupata mchongo naomba unishirikishe. achana na wanaotanguliza mizaha.
Ni ujambazi utakufaa..unga mpaka uwe na connection na watu hao na kusalitiana kwingi...fanya mambo kisayansi Kama KWENYE movie za mambele..andaa gari,silaha
Sehemu zenye hela
Petrol station
Maduka ya kufanya miamala nmb,crdb wakala,mpesa n.k
Bar and night club
Note:hizi deal NI michongo ya pesa ya kawaida million nne,tatu it depends
Ila Kama unataka deal kubwa za million 100 na kuendelea basi itakuwa ngumu maana watu siku hizi hawatembei Sana na cash.....
Deals NYINGINE lazima uwe na connection na wahusika maana hata ukipewa Sasa hivi mzigo wa pembe za ndovu huwezi kujua uanzie wapi kuingiza pesa utamuuzia nani?kwa hiyo kama kweli uko tayari kuzama chaka la national Park basi andaa Kwanza mazingira na wadosi wa kazi hizo na me sijui wanapatikana wapi..
Note usiwe na huruma Kama silaha unayo basi ukiingia porini ukakutana na wale games Askari basi usiulize unaua ua wote kmninazao..
Mkuu dili haramu mwisho wake kwa sasa ni kufa au kuishia jela kwa huo umri bado una nafas cheki dili halali man
Pesa haramu itaambatana na maisha haramu, maisha ya mikosi, magonjwa na hata changamoto zisizotatulika kwa pesa utakazokuwa umechuma.
Na njia haramu unazozizungumzia ndio hizi hizi tunazozisikia huku kwenye Vyombo vya habari pale Watoto wanaua Wazazi wao, Ndugu anamuua Mwenzake...ni kujidanganya kama unafikiri utaishi kwa amani baada ya kufanya hayo.
Njia pekee itakayokuacha na amani ni labda upate changamoto ya akili (kichaa) ambapo hutojali tena Mtu au kitu.
Kwanini usiingie kwenye kilimo cha matikiti.Ukipiga hekar zako hata mbili unakuwa milionea kwa miezi mitatu tu.
tikiti moja ukiuza 3k tufanye umepata matikiti 2k
ukipga 2000×3000=6000000 ( milion 6 )
hapo ukitoa gharama za kukod shamba na madawa ni kama 1m tu utajikuta una baki na 5m
Haya ukilima misimu miwili unajikuta una 10m
nb.Hili ni dili haramu na halali ko jitose kamanda huku.
Mkuu tumefika huko ?Najua kuna kusalitiana, kuua au kuuliwa, kukamatwa na kupewa adhabu kali au kuhukumiwa kifungo cha maisha, but am ready with all that maana nimeckoka maisha haya.