Hapa JF watu mna mizaha kweli,
sasa jamaa kasema anataka mchongo wowote halali au halamu,
cha ajabu watu mnamwambia eti kuna jela, kwani mpaka anasema anataka mchongo halamu hajui kuwa kuna jela? mbona swala la jela ameshaligusia?
au mnadhani yeye atakuwa wa kwanza kwenda huko jela?
si bora yeye ataenda jela kwa kosa alilofanya?
si kuna watu wamepewa kesi za uongo na wanaozea jela?
kwanini yeye asijaribu bahati yake?
mimi nafanya shughuli ambazo zinanipatia hela ya kula na kulipa kodi, lakini muda wote nafikiria sana nianzie wapi ili nipate mchongo wa hela ndefu.
kuna watu wanaona kuua kama inshu kubwa sana, lakini watu tunatofautiana sana, mimi sioni kama kuua ni jambo kubwa kiasi hicho.
isitoshe wakuu umasikini ni mbaya sana, inabidi mtu uupinge kwa nguvu zote, ikiwezekana cheza hata michezo ya kifo.
maisha bila hela ni bure.
mkuu kama ukifanikiwa kupata mchongo naomba unishirikishe. achana na wanaotanguliza mizaha.