Natafuta deal ya pesa nyingi

Natafuta deal ya pesa nyingi

Kabebe Unga Per trip unakula 10,000,000 yaani weak moja unatengeneza 10 milioni ukipeleka mara Kumi ushapata kamsingi. Duu Ila fikiria mara mbili risk nazo nyingi.

1. Kupasukia tumboni
2. Kukamatwa na kufungwa
3. Kuajiribia CV yako

Kila la heri kijana.
Niunganishe mkuu
 
Habari za muda huu wana jf.
Mimi ni kijana mtanzania, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu ni kidato cha sita, umri wangu ni miaka 27.

Nisingependa kuwachosha sana naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,

Natafuta kazi au deal yeyote halali au haramu kigezo iwe na kipato au ujira mkubwa, hii nadhani inetokana na kuwahi kumiliki pesa nyingi na zikapotea bila kukamilisha mipango na malengo yangu.

Niliwahi kumiliki pesa nyingi kipindi nipo na miaka 21 hadi 24 na pesa hizo nilitafuta mwenyewe sio kwa kurithi, kudhurumu au kuiba.
Najua wengi mtashangaa na mtanishauri nitumie njia ile ile kupata hizo pesa lakini kwa sasa naona itachikua miaka mingi sana au isiwezekane kabisa.

Njia iliyotumika kupata fedha nyingi,

Niliwahi kusoma chuo cha madini hivyo nina uelewa kiasi kuhusiana na madini especially gold, Wakati nipo chuo mwaka wa pili tulipangiwa field, wakati nipo field nikabahatika kupata dhahabu kiasi ambayo niliiuza na kupata fedha nyingi kwangu, ikapelekea chuo sikumaliza ndio maana nasema nina elimu ya kidato cha sita.

Lakini pia njia hii ilikuwa kama bahati kwa upatikanaji wa fedha hizo ndio maana siwezi kuitumia tena kutafuta pesa nyingi.

Mimi binasfi kutokana na uelewa wangu na kutembea kwangu nimegundua, kazi nyingi haramu au deal nyingi haramu zinaingiza pesa nyingi sana. Ukizingatia pia zina risk kubwa pia ni kama third law of motion ya sir Isack Newton (for every action there is equal and opposite reaction)

Lakini kutokana na kutembea kwangu, akili yangu, skills zangu na efforts zangu nimejiandaa kiakili na kisaikolojia kutafuta deal yeyote ya kuingiza pesa nyingi sana kuanzia sasa.

Najua kuna kusalitiana, kuua au kuuliwa, kukamatwa na kupewa adhabu kali au kuhukumiwa kifungo cha maisha, but am ready with all that maana nimeckoka maisha haya.

NB:
Sio mzuri sana kwenye uandishi lakini nadhani nitakuwa nimeeleweka na kama unaswali au ushauri unakaribishwa
(Nawasilisha)
Fungua kanisa bro!!!!!
 
Ni ujambazi utakufaa..unga mpaka uwe na connection na watu hao na kusalitiana kwingi...fanya mambo kisayansi Kama KWENYE movie za mambele..andaa gari,silaha


Sehemu zenye hela
Petrol station
Maduka ya kufanya miamala nmb,crdb wakala,mpesa n.k
Bar and night club


Note:hizi deal NI michongo ya pesa ya kawaida million nne,tatu it depends



Ila Kama unataka deal kubwa za million 100 na kuendelea basi itakuwa ngumu maana watu siku hizi hawatembei Sana na cash.....





Deals NYINGINE lazima uwe na connection na wahusika maana hata ukipewa Sasa hivi mzigo wa pembe za ndovu huwezi kujua uanzie wapi kuingiza pesa utamuuzia nani?kwa hiyo kama kweli uko tayari kuzama chaka la national Park basi andaa Kwanza mazingira na wadosi wa kazi hizo na me sijui wanapatikana wapi..

Note usiwe na huruma Kama silaha unayo basi ukiingia porini ukakutana na wale games Askari basi usiulize unaua ua wote kmninazao..
Hapo Mwisho umeuua mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hauko serious ....nayakutom...a.aisee
Kumbe huyu tushamjua kurombana kumemnogea Sana...atapata hizo hela million mia ataenda nazo lodge maana bank hawezi kuweka SI kafanya uhalifu kuzipata akifika lodge atachukua chura kurombana naye dakika ya mwisho Malaya atajipaka dawa kwenye titi jamaa yenu kulamba chali anasinzia anaibiwa pesa halafu sijui atakuja na thread gani nyingine hapa.[emoji16][emoji16]
 
Au uliokota vikole mkuu?

Sehemu niliyoenda field mgodi uliwaka mkuu mfuko wa jiwe ulikuwa 6m mfuko wa fero 2m kama ni mzoefu wa migodi utakuwa umenielewa na utakuwa unajuwa nini maana ya mhilo na ikitokea mhilo upo mgodini kila mtu anapate pesa mama lishe, muuza duka , muuza maji ,madada poa na kila mtu. Sasa imagine taharifa huwa zinafika tz nzima hadi nje kwa wachimbaji imagine sisi sio imetukuta watoto wa field tunaingia kila duara ni ujasiri wako tuu wa kuvaa ppm na kushuka manta.
Maelezo mengi mimi sio mzuri kuandika japo utakuwa umenielewa kidogo
 
Back
Top Bottom