Kiambazi
Member
- Sep 25, 2020
- 80
- 174
Mkuu niunganishe hilo swala la figo me nipo tayari kutoa moja, nimechoka na umasikini, hadi watoto wadogo wanakudharau ukiwa huna pesaFigo unazo ngapi!? Kam mbili njoo dm haraka

Kuja boxMkuu niunganishe hilo swala la figo me nipo tayari kutoa moja, nimechoka na umasikini, hadi watoto wadogo wanakudharau ukiwa huna pesa
Mimi ni ndugu yake na gwajima mkuu.Acha porojo! Wewe ni nabii wa kanisa gani ?
Hamna tatizo kwa kua unajua duniani kuna Jela na Guest House jiandae kwa loloteHabari za muda huu wana JF.
Mimi ni kijana mtanzania, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu ni kidato cha sita, umri wangu ni miaka 27.
Nisingependa kuwachosha sana naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,
Natafuta kazi au deal yeyote halali au haramu kigezo iwe na kipato au ujira mkubwa, hii nadhani imetokana na kuwahi kumiliki pesa nyingi na zikapotea bila kukamilisha mipango na malengo yangu.
Niliwahi kumiliki pesa nyingi kipindi nipo na miaka 21 hadi 24 na pesa hizo nilitafuta mwenyewe sio kwa kurithi, kudhulumu au kuiba. Najua wengi mtashangaa na mtanishauri nitumie njia ile ile kupata hizo pesa lakini kwa sasa naona itachukua miaka mingi sana au isiwezekane kabisa.
Njia iliyotumika kupata fedha nyingi,
Niliwahi kusoma chuo cha madini hivyo nina uelewa kiasi kuhusiana na madini especially gold, Wakati nipo chuo mwaka wa pili tulipangiwa field, wakati nipo field nikabahatika kupata dhahabu kiasi ambayo niliiuza na kupata fedha nyingi kwangu, ikapelekea chuo sikumaliza ndio maana nasema nina elimu ya kidato cha sita.
Lakini pia njia hii ilikuwa kama bahati kwa upatikanaji wa fedha hizo ndio maana siwezi kuitumia tena kutafuta pesa nyingi.
Mimi binasfi kutokana na uelewa wangu na kutembea kwangu nimegundua, kazi nyingi haramu au deal nyingi haramu zinaingiza pesa nyingi sana. Ukizingatia pia zina risk kubwa pia ni kama third law of motion ya sir Isack Newton (for every action there is equal and opposite reaction)
Lakini kutokana na kutembea kwangu, akili yangu, skills zangu na efforts zangu nimejiandaa kiakili na kisaikolojia kutafuta deal yeyote ya kuingiza pesa nyingi sana kuanzia sasa.
Najua kuna kusalitiana, kuua au kuuliwa, kukamatwa na kupewa adhabu kali au kuhukumiwa kifungo cha maisha, but am ready with all that maana nimechoka maisha haya.
NB:
Sio mzuri sana kwenye uandishi lakini nadhani nitakuwa nimeeleweka na kama una swali au ushauri unakaribishwa
(Nawasilisha)
Dah Umeongeq Sana Point Mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]Vijana wa kitz wameachwa njia panda awajui chochote kuhusu maisha,nini kusudi hasa la maisha, ujasilimali, kuziona fursa, utajiri,nk.
Elimu yetu ya sasa ni takataka haina msaada imetufanya kuwa vipofu.
Fursa tele zimejaa sisi vipofu vijana wa nchi zingine wanakuja wanachuma wanatajirika wanaondoka.
Wanasema TANZANIA njoo na akili yako tu KILA kitu utapata ukifika.
Vijana wote KILA mmoja akipewa mtaji wa milioni 10 haifiki miezi 3 wote watakuwa tena masikini huwezi ukafanikiwa kama ujafanikiwa kichwani.
Toa raman MkuuWork mwingine Niko naweka hela zangu bank crdb hz laki laki zangu kwa tabu tupuu naona kunavijana wanakujaga na mafurushi makubwa ya pesa Tena wanenda dirisha la bulk Kat ya milioni 40 plus najiuliza Nani anawatuma kuzileta je wakizomewa ramani jinsi wanvyo kabidhi hzo fez na madon wao kuzileta bank .na wanakujaga wakiwa wamezubaha zubah mno kumbe ktk beg Kuna furushi kubwa la fedha HV wakifatiliwa vzr siwatapigwa tukio
Al in Al maisha Ni ujasiri ovaaa
Ipo kazi nzuri na utatajirika sana,mradi ukubali utembelewe kwa mpalangeHabari za muda huu wana JF.
Mimi ni kijana mtanzania, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu ni kidato cha sita, umri wangu ni miaka 27.
Nisingependa kuwachosha sana naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,
Natafuta kazi au deal yeyote halali au haramu kigezo iwe na kipato au ujira mkubwa, hii nadhani imetokana na kuwahi kumiliki pesa nyingi na zikapotea bila kukamilisha mipango na malengo yangu.
Niliwahi kumiliki pesa nyingi kipindi nipo na miaka 21 hadi 24 na pesa hizo nilitafuta mwenyewe sio kwa kurithi, kudhulumu au kuiba. Najua wengi mtashangaa na mtanishauri nitumie njia ile ile kupata hizo pesa lakini kwa sasa naona itachukua miaka mingi sana au isiwezekane kabisa.
Njia iliyotumika kupata fedha nyingi,
Niliwahi kusoma chuo cha madini hivyo nina uelewa kiasi kuhusiana na madini especially gold, Wakati nipo chuo mwaka wa pili tulipangiwa field, wakati nipo field nikabahatika kupata dhahabu kiasi ambayo niliiuza na kupata fedha nyingi kwangu, ikapelekea chuo sikumaliza ndio maana nasema nina elimu ya kidato cha sita.
Lakini pia njia hii ilikuwa kama bahati kwa upatikanaji wa fedha hizo ndio maana siwezi kuitumia tena kutafuta pesa nyingi.
Mimi binasfi kutokana na uelewa wangu na kutembea kwangu nimegundua, kazi nyingi haramu au deal nyingi haramu zinaingiza pesa nyingi sana. Ukizingatia pia zina risk kubwa pia ni kama third law of motion ya sir Isack Newton (for every action there is equal and opposite reaction)
Lakini kutokana na kutembea kwangu, akili yangu, skills zangu na efforts zangu nimejiandaa kiakili na kisaikolojia kutafuta deal yeyote ya kuingiza pesa nyingi sana kuanzia sasa.
Najua kuna kusalitiana, kuua au kuuliwa, kukamatwa na kupewa adhabu kali au kuhukumiwa kifungo cha maisha, but am ready with all that maana nimechoka maisha haya.
NB:
Sio mzuri sana kwenye uandishi lakini nadhani nitakuwa nimeeleweka na kama una swali au ushauri unakaribishwa
(Nawasilisha)
Atarii Sana.Niliwahi kuwaza kama wewe lakini baadae nikaja kugundua njaa na tamaa ni vitu kibaya sana, by the way utu wako ni Bora kuliko hizo pesa, tafuta shughuli halali hata kama Ina kipato Cha kawaida then Muombe Mungu atakusaidia utaweza kuridhika na ulicho nacho.
Umejuaje mkuu$100 Pampu mbili
Customers
Italians & Philippines
Kadiri unavyopika kisamvu kadiri kinavyoivva
Location Zanzibar
Malipo baada ya mafanikio si ndioKuna salat maalum nikuandikie ukae nayo Kwa Siku 49,mfukoni fedha zije mguuni mwako zenyewe Kwa usaidizi wa jinn Ifrit, we ni bats tu.
Gharama;500,000/-
Nilijaribu kuapload apa isaidie watu ikagomaMalipo baada ya mafanikio si ndio
Kwahiyo sasahivi wewe ni bilionea au sio mkuuMi
Mimi sio mpigaji ha ha ha nimejifunza toka misri na ugiriki / siitumii elimu hii Bali ninayo na hairithisiki Kwa mtu ni elimu kubwa mno.