Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,400
- 3,898
Manhaj Salaf ni njia, misingi, na mwenendo wa kufahamu, kuamini, na kutenda mambo ya dini ya Kiislamu kwa kufuata mwendo wa Salafus-Saalih — yaani Waislamu wa mwanzo waliokuwa na uelewa sahihi wa dini:
1. Sahaba (waliokuwa pamoja na Mtume
2. Tabi'in (waliowafuata Sahaba)
3. Tabi'ut-Tabi'in Maana ya "Manhaj" – ni mfumo au njia ya kufuata katika kuelewa na kutekeleza dini.
🔹 Maana ya "Salaf" – ni waliotangulia (watangulizi wa kwanza wa Uislamu wenye uelewa safi).
Mambo makuu katika Manhaj Salaf:
1. Kufuata Qur’an na Sunnah kwa ufahamu wa Salafus-Saalih, si kwa mawazo binafsi au falsafa mpya.
2. Kuepuka bid’ah (mambo mapya katika dini yasiyo na msingi katika Qur’an na Sunnah).
3. Kuweka ibada na itikadi kwa usahihi kulingana na alivyoelekeza Mtume ﷺ na Sahaba.
4. Kudumisha umoja na kuepuka migawanyiko isiyo na msingi wa kisharia.
5. Kuheshimu viongozi wa dini na umma kwa adabu za Kiislamu
Mfano rahisi: Kama Qur’an ni ramani, na Sunnah ni maelekezo ya safari, basi Manhaj Salaf ni jinsi unavyozitumia ramani na maelekezo hayo kwa kufuata njia iliyopitiwa na wale waliopata mafunzo moja kwa moja kutoka kwa Mtume
USSR
Mmh kweli? Kivip?
nje ya mada, dhahabu nyekundu ndo ikoje mkuu?Wanawake wa Kisalafi wana thamani mno kuliko dhahabu nyekundu.
Wewe huitaki hii bahati hii au umeshaolewa tayari!?nje ya mada, dhahabu nyekundu ndo ikoje mkuu?
anyway, unavyompigania mleta uzi napendekeza akuoe wewe mkuu
Nimefurahi Mrs none umempendelea kheri dada yetu Smooth Criminal kwenye hii nafasi Allah akuzdishie kheri kwa kutokuwa mbinafsi maana ww kwa sasa bdo una uzitoWewe huitaki hii bahati hii au umeshaolewa tayari!?
Kumbe lina akili tatizo bangi😅😅Hapa kwenye haya makundi ondoa shiya na ahmadia haya hayafai kabisa kwenye uisilamu na sio miongoni mwa waisilamu.
Ahl sunna na Salafi hawa ndio huitwa Wahabi kwq pmj.
Sufii ndio bakwata ambao ni waisilqmu pia ila kuna madhaifu yao lkn yanarekebishika na hayajawatoa kwenye uisilamu kwa maana mapungufu yao wengi ni kuzusha tu baadhi ya mambo kwenye dini kwa kukosa tu elimu
Mf suni na salafi anaweza kuswali nyuma ya sufi lkn si nyuma ya shia wala ahmadia
Huyu smuth ni ke??Nimefurahi Mrs none umempendelea kheri dada yetu Smooth Criminal kwenye hii nafasi Allah akuzdishie kheri kwa kutokuwa mbinafsi maana ww kwa sasa bdo una uzito
Nyamwi huyoooKumbe lina akili tatizo bangi😅😅
Eeh sina khiyanaNimefurahi Mrs none umempendelea kheri dada yetu Smooth Criminal kwenye hii nafasi Allah akuzdishie kheri kwa kutokuwa mbinafsi maana ww kwa sasa bdo una uzito
Rudi nyuma post #163 oanisha na #164 utapata kituHuyu smuth ni ke??
Oya sasa mm hata sijijui niko wapi kati ya haya makundi😅😅 huu si muswibaaNyamwi huyooo
Hahah ww ni broh tu km ma broh wengine humuOya sasa mm hata sijijui niko wapi kati ya haya makundi😅😅 huu si muswibaa
Mbona kama njemba🤣Rudi nyuma post #163 oanisha na #164 utapata kitu
Nitaftie binti basi nioeHahah ww ni broh tu km ma broh wengine humu
Yah anaonekana ni me ila dawa ya jeuri ni kiburiMbona kama njemba🤣
Safi sana mrs nonYah anaonekana ni me ila dawa ya jeuri ni kiburi