Tafuta huko mtaan kwenu wazee wa busara
Hujaelewa.Wazee wa huku tabia zao ndio kama hizo hizo za wa mtaani bz hawatoki kwenye sayari tofauti na hii mkuu.
Nipo serious.,....labda umeamua tu uwe sensitie....kipi ambacho hujaelewa hapo? Pia ungesoma my first thread ingekupa mwanga.Natarajia kuoa mwisho wa mwaka huu, Mchumba tayari ninae "japo sina uhakika nae"
Are you serious comrade????[emoji848]
Dah...Chief...nami niko siriaz pia....Mkuu my issue isi serious...halafu unaleta utani!!! why/
Hahaha wachina wanasemaga "ukweli mchungu"
Halafu huyu ni 'padri mcharo' new id, asije akakucharukia kaka yangu.
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Ungesoma uzi wangu wa kwanza, kuhusu maisha yangu na ombi langu lile hadi nikashauriwa niahirishe, usingepotosha kiasi hiki.Wazee wa mtaani wanamfahamu alivyokuwa chakaramu, anatafuta wa kwenye mitandao ambao ni strangers ambao hawajui issue zake.
Jitokezeni wazee.
Please...consider as a my girlfriend, lakini sina uhakika wa kusettle nae, kwasbabu ni mtoto wa mjini...mm nataka kuwa na familia, kwahyo bado sioni tatizo kuangalia fursa kwa binti ambae yupo tayari kusettle..UMENIELEWA?? au unanichallenge tu bila mantiki.Nilifikiri nimesoma vibaya
Yaani mtu ambaye ndiye unajenga nae family huna uhakika nae?
Ukaenda mbali ukasema hata ukichaguliwa ni sawa!?
Mmh
[emoji252] [emoji479]
Kila la kheriPlease...consider as a my girlfriend, lakini sina uhakika wa kusettle nae, kwasbabu ni mtoto wa mjini...mm nataka kuwa na familia, kwahyo bado sioni tatizo kuangalia fursa kwa binti ambae yupo tayari kusettle..UMENIELEWA?? au unanichallenge tu bila mantiki.
Avatar niliyotumia ndo imesemekana iliwahi kutumiwa...hivyo nimeibadili. Huyo mcharo sijui padre simfahamu kwakweli.Hahaha wachina wanasemaga "ukweli mchungu"
Halafu huyu ni 'padri mcharo' new id, asije akakucharukia kaka yangu.
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Binafsi sina wazee....sina ndugu...ndio maana bandiko langu la kwanza lilihusu nifunge safari kwenda Kigoma kutafuta chimbuko, japo baadhi ya ndugu nawafahamu ila hawatoi ushirikiano...watu humu wakanishauri ni bora nifanye mambo yangu, na nioe ...familia yangu ndo watakuwa ndugu zangu, hiyo nikaambiwa pia nitafute BABA WA HIARI.Tofauti ni kua wazee wa huku hatumjui background yake, si umeona kasema atasimulia story yake kwa hiyo lazima aipambe tofauti na wazee wa mtaani kwake wanamjua nje ndani.
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
We dogo unabusara gani sasaKwani mimi kwa busara na hekima zangu siwezi kumsimamia hadi umwambie arudi mtaani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimewekea link ya uzi uliopita, ungeusoma pamoja na comments zake usingekuwa na maswali yote haya...ila kwa ufupi; nfugu ninao, ila kwasababu sijakuwa nao, hawajahusika kwa lolote kwenye maisha yangu hadi nimejitegemea...hawana ushirika nami, japo ushaihidi ninao kuwa ni ndugu...na mara chache tunawasisliana...mm nikapost nipewe mchanganuo wa kwendsa Kigoma kwa wazee, chimbuko la baba, watu wakasema ni bora nijikite kwenye shughuli za maendeleo...watanitafuta wenyewe...na km ni kuoa nioe, japo hapo nitahitaji BABA WA HIARI. umeelewa?kwahiyo wewe huna, wajomba, binamu, babu, baba mdogo, au hata majirani? mpaka upate baba wa hiari huku ambae hamjuani kwa lolote, hebu kuwa serious, na huna mchumba bwana, huwezi kutuambia una mchumba lakn huna uhakika nae, na ukamalizia kwamba uko tayari kuchaguliwa mchumbwa mwingine, mean uko tayari kumuacha huyo binti ulienae wakati wowote kisa tu baba wa hiari kakwambia, something is very wrong with u
Ungesoma uzi wangu wa kwanza, kuhusu maisha yangu na ombi langu lile hadi nikashauriwa niahirishe, usingepotosha kiasi hiki.
Mkuu, thread yangu ilikuywa wzi...of course hakuna anayenijua kiundani hadi aliyenilea kwa namna moja au nyingine, wengi wao ni wafadhiliw a kizungu wa nchi mbali mbali...na walimu wangu ambao wengi wako Mwanza (primary + high school) na walioko kenya (chuo)...kwa Dar wapo ndugu upande wa baba ambao sasa either ni aibu kwako...kwamba hadi nimekuwa na elimu, najitegemea, nina kazi etc leo hii ndo tuzoeane!! japo mm nimeshawaambia nawapenda km ndugu zangu...ila ndo ivyo inaonekana nina lazimisha ukaribu.No, uzuri wa wazee wa huku watapewa story kutoka kwako tu, hawatakuwa na negatives zako.
Wale wa mtaani wanakujua na hawako tayari kukudhamini, kama ukipitia thread yake aliyoweka link anasema alishawahi kuoa ila wakaachana kwa sababu alioa akiwa bado mdogo, sasa ukute kulikuwa na issue za kupigana nk ambazo zinasababisha wanaomjua wasimdhamini.