Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kila la kheri
Mwenye mantiki.
[emoji252] [emoji479]
Huna mantiki wewe...
Kila la kheri
Mwenye mantiki.
[emoji252] [emoji479]
We dogo unabusara gani sasa
nimeshajibu hilo
Ok nitazingatia ushauri...japo sina kanisa rasmi, hasa kwa hapa Dar, na mm ni mtu wa kazi, kwakweli sina kanisa la haraka la kwenda kuweka agenda kama hiyo mezani....labda nikae hapo km 6 months au miak 2, kitu ambacho ni kinyume na malengo yangu...nataka kanisa nitakalodumu nalo ni ambalo tutafunga ndoa na mke wangu...na girlfriend wangu sio mtu wa kanisa!!! nafanyaje?? na mm simaini kwamba mke lazima atoke kanisaniKatika kanisa unalosali omba wazee wa kanisa mmoja wapo awed Baba yako wa hiari.
Shangazi na bamdogo...wote tupo nao Dar..ila hatuna ukaribu kiviiile...hata nikiwauliza mambo ya ndani kumuhusu mzee wanapotezea, nadhan ni kwasababu hawajanilea...pia ile harusi niligharamia mimi 100%Tuambie kuhusu ndoa yako ya kwanza, nani alikusimamia?
Kwa nini usiende kwake tena?
Mkuu sina ID ingine...acha upotoshaji...isitoshe sijagombana na ww popte
acha masiala mkuuSubiri nikupe namba ya Le Mutuzzz Nye Nye Nye,anatafuta mtoto wa kumlea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana nmemwambia atafute tu mtaan huku jf madogo mmejaa sanaHehehe aisee acha ujinga!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Masihara gani tena hayo,unataka au hutaki Baba wa hiari?acha masiala mkuu
Nipo serious.,....labda umeamua tu uwe sensitie....kipi ambacho hujaelewa hapo? Pia ungesoma my first thread ingekupa mwanga.
Kama wewe ni Muslim nenda msikitini huko utapata atasimamia kila kitu.Wakuu,
Majuzi nilipost kuhusu kufuatilia chimbuko la Baba yangu huko Kigoma, wengi mkashauri ni bora nijenge tu maisha ya yangu/nitafute hela, mwenye shida na mimi atanitafuta mbele ya Safari...nimekubaliana na huo Ushauri. Pia kuna mliopendekeza ni bora nitafute Baba wa Hiari atakaye simamia mchakato wangu wa kuingia kwenye Ndoa/Harusi.
Kwahiyo nawasilisha kwenu, hasa watu wazima wenye familia na umri umeenda mlioko Dar, mmoja wenu ajitolee kuwa Baba wa Hiari (ni baada ya mimi kumpa full story) kisha awe tu kama Mlezi/Baba wa Hiari...kama vile ilivyo kwa "Baba wa Kiroho"...nadhani Waroma wataelewa zaidi maana hata Ubarikio mtu huwa na Wazazi sijui wa Ubarikio...sijui sana ila nshaskia.
Natarajia kuoa mwisho wa Mwaka huu, Mchumba tayari ninae japo sina Uhakika nae (nimekutana nae Dar), hivyo Baba wa Hiari, atakuwa na nafasi ya kurecommend binti, au kunishauri pa kuoa au wa kumuoa...NAFASI HIYO ANAYO.
Kuhusu gharama za Ndoa/Harusi, naweza kujichanga hata kama sitachangiwa na mtu hata mmoja. Nimeshaanza kusave.
Uzi uliopita ni huu:
Naomba mchanganuo wa Bajeti ya kutoka Dar to Kigoma. Naenda kutafuta Chimbuko la Baba yangu.
cc Shunie Mshana Jr ISIS Nyani Ngabu Erythrocyte Bavaria BAK Sakayo Mama Sabrina elvischirwa fredy18 Thad Sky Eclat thA goD @kanungila MAGACHA na members wote.
Mbaka na muda wa harusi ushapanga and you're not sure na mtu unaenda kumuoa , huwezi kuwa serious mkuu.
Ndo mana nmemwambia atafute tu mtaan huku jf madogo mmejaa sana
Nilifikiri nimesoma vibaya
Yaani mtu ambaye ndiye unajenga nae family huna uhakika nae?
Ukaenda mbali ukasema hata ukichaguliwa ni sawa!?
Mmh
[emoji252] [emoji479]
Au mazingira yanatengenezwaHivi huwa mnaamini hizi thread zinazoletwa hapa kuwa huwa ni vitu halisi?
Hapa utani mwingi kama vijiwe vya ghahawa!
Sent from my iPhone using JamiiForums