Natafuta Baba wa Hiari anisimamie Ndoa

Natafuta Baba wa Hiari anisimamie Ndoa

Kila asubuhi ni dozi ya stori kumi kutoka jf kisha niend kuzurura hii stori ya saba
 
Hivi huwa mnaamini hizi thread zinazoletwa hapa kuwa huwa ni vitu halisi?

Hapa utani mwingi kama vijiwe vya ghahawa!

Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu km kwako ni Tales basi waache wengine...sio ww ndo uwe Judge...kwa credibility gani uliyonayo?
 
Kila asubuhi ni dozi ya stori kumi kutoka jf kisha niend kuzurura hii stori ya saba
mkuu binafsi sipo hapa kukupa mastory...if you are not concerned kuna ulazima wa kucomment? kiustraabu tu!!? kuna ulazima?
 
Musa_ali, maisha yamebadilika sana. Sio kama zamani.

Natamani uachane na sympathy za watu na undelee na maisha yako. Mtegemee Mungu kwa kila kitu. Achana na haya mambo ya kusaidiwa saidiwa.

Kama ndugu alivyopendekeza hapo juu, tafuta mtu wa karibu hapo mtaani kwenu akamilishe lengo lako.

Lakini kingine, usikubali historia yako ya nyuma ikakufanya usisonge mbele na maisha yako.
Nimekuelewa mkuu, kuhusu mtu wa hapa mtaani...hamna mtu coz ni hapa mjini Ilala magorofani, kila mtu yuko bize na shughuli zake....hata kuonana na jirani mnaonana wikendi tuuu....kuhusu my past, wala hainisumbui, ni kwamba nahitaji Baba wa Hiari wa kunisimamia tu Ndoa ...basi
 
Ndo mana nmemwambia atafute tu mtaan huku jf madogo mmejaa sana
siishi mtaani mkuu...ni hapa mjini Ilala...watu wako bize, mnaonana wikendi tuuu tena mnaweza hata msionane...kazi nyingi. nadhan umenisoma
 
Nimekuelewa mkuu, kuhusu mtu wa hapa mtaani...hamna mtu coz ni hapa mjini Ilala magorofani, kila mtu yuko bize na shughuli zake....hata kuonana na jirani mnaonana wikendi tuuu....kuhusu my past, wala hainisumbui, ni kwamba nahitaji Baba wa Hiari wa kunisimamia tu Ndoa ...basi

Haha i feel you , maisha ya hapo BOMA kila mtu yupo busy, labda uende nyuma ya msikiti karibu na sokoni hapo kuna wazee wa busara huwa wanashinda wanakunywa gahwa siku nzima kwenye kijiwe chao.
 
Au mazingira yanatengenezwa

[emoji252] [emoji479]

Sometime iko hivo!

Haleti majibu ya moja kwa moja kukuta mtu anaweka tarehe ya ndoa halafu hajaamini kuwa anaeenda kumuoa nae yuko tiyari!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jaribu kuangalia mzee yeyote ambaye mwenye hekima hapo mtaani kwenu then mueleze shida yako
 
siishi mtaani mkuu...ni hapa mjini Ilala...watu wako bize, mnaonana wikendi tuuu tena mnaweza hata msionane...kazi nyingi. nadhan umenisoma
Huko ilala hamna mtaa?
 
Back
Top Bottom