Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,518
- 8,878
Ungempeleka Hospital ingekuwa vizuri zaidi.
Nipe Kijiji niende nipo hapa Kwiro MahengeKuna mtu Yupo huko amespecialize kwenye kutibu magonjwa ya kichawi.. Watoto wanao chelewa kuongea au kutembea anatibu Sana. Anawatibu Sana pia wachezaji wanao umia uwanjani
Jana tu mkuu.Tangu lini umekuwa mtu wa ushauri nasaha🙁
Mimi ni mganga kweli ila uje na milioni 20Sikubali haiwezekani mtoto afikishe miaka mitatu anaongea vizuri,alikua anabwabwaja maneno chungu nzima gafla tu akaanza kua na kigugumizi Toka hapo Yani anateseka sana kwenye kuongea hadi utamuonea huruma.
Hua najiuliza ni nini kilitokea sijawahi pata jibu.Hivyo natafta mganga amuague pengine huezi jua ya walimwengu mi nahisi kabisa Kuna mtu alimfunga mdomo kwa manufaa yake mwenyewe.
Dudubaya alitapeliwa nini na Madaktari wa binadamu?Lengo ujue kuwa hao waganga wapo wakweli ambao wanakupa tiba mpaka unapona na wapo matapeli kama ilivyo madaktari tu
Exactly Correct. Kukimbilia kwa waganga kunaashiria jinsi makuzi na imani yake ilivyo. Angeanza na kutafuta kujua kiini cha Tatizo scientifically halafu kama itaonekana hakuna Tatizo ndo aangalie upande wa pili.Pole sana. Kwenye waganga 10 utakaokutana nao, tambua mapema 9 watakuwa ni matapeli.
I wish ungejaribu kwanza kwenda hospitali kubwa kwa ushauri na msaada zaidi.
Bibiye, unatekwa kwa sababu gani? Mtu akitaka kukuteka nijulishe ili nimuombe aniteke mimi kwa niaba yako.Shida humu ni ID fake, unaweza jikuta unatekwa bure
Nifuate inbox.Sikubali haiwezekani mtoto afikishe miaka mitatu anaongea vizuri,alikua anabwabwaja maneno chungu nzima gafla tu akaanza kua na kigugumizi Toka hapo Yani anateseka sana kwenye kuongea hadi utamuonea huruma.
Hua najiuliza ni nini kilitokea sijawahi pata jibu.Hivyo natafta mganga amuague pengine huezi jua ya walimwengu mi nahisi kabisa Kuna mtu alimfunga mdomo kwa manufaa yake mwenyewe.
Yeye ndie mwenye mtoto na ndie anajua ugonjwa wa mwanae ukoje...na yeye ndie anaejua mazingira anayoishi na majirani zakeDudubaya alitapeliwa nini na Madaktari wa binadamu?
Kwahiyo mtoa mada ampeleke mtoto kutibiwa kwa waganga wa Kienyeji?
😄😄wamekusoma watekajiBibiye, unatekwa kwa sababu gani? Mtu akitaka kukuteka nijulishe ili nimuombe aniteke mimi kwa niaba yako.