Natafta mganga wa kuagua wa ukweli.

Natafta mganga wa kuagua wa ukweli.

Kinachonifanya nihangaike ni kua mwanzo alikua anaongea vizuri lakini alipofikisha miaka 3 tu kikamuanza asa kadri anavokua ndo chaongezeka badala kupungua
Hajarogwa mkuu. Hilo ni tatizo la kawaida isipokuwa tu ni kwamba hujapata suluhisho.

Mimi pia mwanangu wa kike hiyo hali ilimtokea ila tulifanikiwa kulidhibiti mapema sana na sasa anaongea safi kabisa.

Drop mawasiliano yako PM naahidi kukupa ushirikiano.
 
Fikiria kuwa wampa mtu hela atafute kitu wewe hujui ni nini na yeye aleyepewa kazi hajuji ni nini tatizo.

Halafu mnakuja kusema mganga ni tapeli.
 
Sikubali haiwezekani mtoto afikishe miaka mitatu anaongea vizuri,alikua anabwabwaja maneno chungu nzima gafla tu akaanza kua na kigugumizi Toka hapo Yani anateseka sana kwenye kuongea hadi utamuonea huruma.

Hua najiuliza ni nini kilitokea sijawahi pata jibu.Hivyo natafta mganga amuague pengine huezi jua ya walimwengu mi nahisi kabisa Kuna mtu alimfunga mdomo kwa manufaa yake mwenyewe.
Njoo dm
 
Mpeleke hospital Professional Doctors wamuone
Achana na waganga wa kienyeji,watakutapeli hela zako.
 
Hata hao madaktari unaowasifia hapa mbona dudubaya walimpa majibu ya uongo? Ongeeni vitu mulivyo na ujuzi navyo
 
Je dudu baya alitibiwa na kina nani mpaka akapona ?? Je hawakuwa madaktari?
Ama dudu baya alitibiwa na waganga wa kienyeji??

Waganga wa kienyeji wote ni matapeli 100%,
 
Vipi na Operation aliyofanyiwa hadi kupona alifanyiwa na professional Doctors au alifanyiwa na waganga wa Kienyeji?
 
Sikubali haiwezekani mtoto afikishe miaka mitatu anaongea vizuri,alikua anabwabwaja maneno chungu nzima gafla tu akaanza kua na kigugumizi Toka hapo Yani anateseka sana kwenye kuongea hadi utamuonea huruma.

Hua najiuliza ni nini kilitokea sijawahi pata jibu.Hivyo natafta mganga amuague pengine huezi jua ya walimwengu mi nahisi kabisa Kuna mtu alimfunga mdomo kwa manufaa yake mwenyewe.
Mungu amponye mtoto
 
Wapogoro na Wangindo wa kule siku hizi ni waongo na wezi hakuna dawa zaidi ya utapeli.
Ampeleke mtoto hospitali kupata tiba stahiki.
Kuna mtu Yupo huko amespecialize kwenye kutibu magonjwa ya kichawi.. Watoto wanao chelewa kuongea au kutembea anatibu Sana. Anawatibu Sana pia wachezaji wanao umia uwanjani
 
Vipi na Operation aliyofanyiwa hadi kupona alifanyiwa na professional Doctors au alifanyiwa na waganga wa Kienyeji?
Lengo ujue kuwa hao waganga wapo wakweli ambao wanakupa tiba mpaka unapona na wapo matapeli kama ilivyo madaktari tu
 
Kuna mtu Yupo huko amespecialize kwenye kutibu magonjwa ya kichawi.. Watoto wanao chelewa kuongea au kutembea anatibu Sana. Anawatibu Sana pia wachezaji wanao umia uwanjani
Watoto wa humu hawayajui haya
 
Je dudu baya alitibiwa na kina nani mpaka akapona ?? Je hawakuwa madaktari?
Ama dudu baya alitibiwa na waganga wa kienyeji??

Waganga wa kienyeji wote ni matapeli 100%,
Je madaktari wa mwanzo walimtibu dudubaya? je tuwaite matapeli? Wapo waganga wakweli na waongo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom