Natabiri kuondokewa na mtu mzito sana serikalini ndani ya miezi mitatu ijayo

....labda utuambie mambo ya maana hapa kwamba wewe sniper utamtungua jk kwa mbali tukupe zawadi maana uchaguzi utarudiwa na labda tutapata rais wa ukweli....

Aaaah....ningesema kwamba atapigwa mtu risasi, huo nao ungekuwa utabiri au kufuru?

Watu wengine hapa JF wanachochea moto wasioujua, je kuuzima wataweza?

Utabiri duniani upo, na unakubalika. Wafalme wa zamani walipotabiriwa kushinda vita walifurahi sana, maana ni kweli walishinda. Walipotabiriwa kushindwa walichukia, maana walijua ni mwanzo wa kuanguka kwa dola yao.

Hata hivi leo kwa utabiri wangu huu, ni kweli kuna jambo limeashiriwa kutokea. Hivyo kuamini kwako au kutokuamini, hakutafungamana kwa jinsi yoyote na utabiri huu.

Alamsiki waja wa mola, na waungwana wenzangu.

Kwa jina la YESU utabiri wako ushindwe. Huna tofauti na waganga wa kienyeji. Au unataka jk akuajili ili umpe ulinzi usio onekana? Hata ikitokea maana ndiyo furaha yako. Mchawi mkubwa weye. Acha kuwawangia viongozi. Watu tunataka kusikia habari njema. Hizo ndo habari njema?

Sina uhakika kama unajua uzito wa kila mtu kwenye serikali hii hivyo kuweza kumjua mzito sana ni nani,

Anyway, kuondokewa kwenda wapi tena?

atajiunga na chama cha upinzani, mi namjua.

hapo unaweza ukajua mwandosya dalili zinaonyesha safari inakaribia

Huyo kiongozi anaanza na jina la E endelea na N mwisho L au yule wa vijisenti sijui!

Watabiri wengine bana! Haya embu ngoja tuanze monitoring ya hiyo miezi mitatu tuone matokeo.

Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa,
mkuu kuna misiba ya wabunge imetokea ghafla unasemaje tuamini utabiri wako umetimia?

mimi natabiri kuwa mishahara itachelewa hadi mwezi wa tisa kwani serikali haina pesa,za kuwalipa
sasa sijui itakuwaje
kazi kwako

mkuu kuna misiba ya wabunge imetokea ghafla unasemaje tuamini utabiri wako umetimia?

mkuu kuna tofauti kati ya serikali na ubunge
yeye kasema serikalini,naomba niongezee utabiri,huyo atakuwa kikwete na familia yake kwenye mndege wao mbovu

mkuu kuna tofauti kati ya serikali na ubunge

yeye kasema serikalini,naomba niongezee utabiri,huyo atakuwa kikwete na familia yake kwenye mndege wao mbovu

ANGEKUWA ANASOMA HUKU ANGEIFUNGIA JF NA ANAVYOPENDA VISASIIIIII!!!!!

This message has been deleted by Tanganyika1

Back
Top Bottom