Natabiri kuondokewa na mtu mzito sana serikalini ndani ya miezi mitatu ijayo

Ikulu ilishasema tuheshimu maoni ya watabiri, sasa wewe ni nani wa kuhoji utabiri huu?

Nani ambae hata ondoka ikiwa Yesu kaondoka na dhambi zetu zote kazibeba? sasa huo nao ni utabiri au utapeli? nani atabaki?
 
Peleka ushirikina wako labda utuambie mambo ya maana hapa kwamba wewe sniper utamtungua jk kwa mbali tukupe zawadi maana uchaguzi utarudiwa na labda tutapata rais wa ukweli na siyo huyu wa kichina. Mbali na hapo vundika ujinga wako ndani ya tumbo lako
 
Sina uhakika kama unajua uzito wa kila mtu kwenye serikali hii hivyo kuweza kumjua mzito sana ni nani,
Anyway, kuondokewa kwenda wapi tena?
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa,
Isije kuwa kama Sheik Yahaya alitabiri kifo cha Dr Slaa eti akimpinga Kikwete atakufa matokeo akaondoka yeye!!!!!!!!!
Asionekane kwako mtu anaye angalia nyota, au kutabiri, kupiga lamri,au kubashiri, kuloga mvua yote hayo ni machukizo kwa Bwn Mungu wetu!!!!!!!!!!!
Bwana Mungu anachukia watu wanaoa tabiri kama wachawi na waganga wa kienyeji!!!!!!
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa,

Mungu sika sala zetu adondoke mkulu mwenyewe
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa,
Kufa kufaana, angekufa yule anaefanya maisha kuwa magumu tungeshukuru (ila tu kama kufa kwake kutaleta nafuu)
 
tusubiri hiyo miezi mitatu ifike halafu tumuulize isije ikawa kama yule mzee wa mwisho wa dunia..
 
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu awalinde viongozi wetu, wasipatwe na mabaya yoyote kama vile ajali, magonjwa,
Vipi ulirithi mikoba ya Sheikh Yahaya? Kama ndiyo uliyerithishwa basi mshauri huyo Vasco da- Gama wako kwamba apunguze safari asije akapata ajali kwenye ndege, maana nusu ya maisha yake huwa yuko angani.
 
Kwa jina la YESU! Wote mliotabiri ni watumishi wa shetani. Na mnafuata nyayo za babu wa Loliondo.
 
Mambo mengine, yanabaki kuwa siri yake Mwenyezi Mungu siku zote. Kufa kumeandikwa na lazima kutimie. Si kitu cha kuhesabu kama ni laana maana wote tutakufa. Sifikirii huu ni utabiri sahihi labda kifo hicho kinapikwa sasa na kitatokea kwa lazina
 
Utabiri duniani upo, na unakubalika. Wafalme wa zamani walipotabiriwa kushinda vita walifurahi sana, maana ni kweli walishinda. Walipotabiriwa kushindwa walichukia, maana walijua ni mwanzo wa kuanguka kwa dola yao.

Hata hivi leo kwa utabiri wangu huu, ni kweli kuna jambo limeashiriwa kutokea. Hivyo kuamini kwako au kutokuamini, hakutafungamana kwa jinsi yoyote na utabiri huu.

Alamsiki waja wa mola, na waungwana wenzangu.
 
Back
Top Bottom