evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,899
Bashiru kapata demotion , Samia Tena kampendelea Sana alitakiwa alipigwe chini
Haki ya nani wewe ni punguani!Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Sawa....ila waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na siyo kuteuliwa.Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Unataka kusema wale wazee wenye chama chao watamuachia afanye anavyotaoa?Ilo haliwezekani, ila Bashiru atakuwa politician mwenye nguvu sana ndani ya CCM.
Uwongo huo wote walipanga. Mama including.Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwa kifupi amepelekwa bungeni ili akawe complete package kwenye masuala ya uongozi unaoingiliana na siasaIlo haliwezekani, ila Bashiru atakuwa politician mwenye nguvu sana ndani ya CCM.
Mungu atuepushie mbaliWengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Katiba umesoma vizuri inasema Mbuge yupi anaweza kuwa Waziri Mkuu?
Anaweza akawa PM ajaye kwa maana hukuna ajuaye ya kesho. Lakini kwenye Bunge hili hawezi kwasababu PM lazima awe Mbunge aliyechaguliwa na wapiga kura katika Jumbo la Uchaguzi.Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Ukweli niliouona kwenye andiko lako ni kuhusu Majaliwa kupoteza kuaminiwa na wananchi baada ya kubwabwaja uongo mbele za Mungu msikitini , hili silikatai hata chembeWengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.
Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.
Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hata hivyo Majaliwa naye hakuchaguliwa na wananchi , alihakikisha wagombea wa vyama vingine wanatekwa ili apite bila kupingwa , baadhi ya waliotekwa waliokotwa Mkuranga .Anaweza akawa PM ajaye kwa maana hukuna ajuaye ya kesho. Lakini kwenye Bunge hili hawezi kwasababu PM lazima awe Mbunge aliyechaguliwa na wapiga kura katika Jumbo la Uchaguzi.