Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Labda akagombee ubunge kwao Bukoba vijijini vinginevyo kwa ubunge wa kuteuliwa katiba inamkatalia
 
Basi inatosha jamani mwacheni mleta mada hatatudia tena kuleta ujinga.Ila na wewe mleta mada basi jaribu kujiridhisha kwamba na unachotaka kukituma kabla sh......n...y zako
 
Katiba umesoma vizuri inasema Mbuge yupi anaweza kuwa Waziri Mkuu?
Kwani amekwambia anaenda kupata uteuzi kipindi hiki?

Kwa nini usifikirie baada ya 2025, sasa anaenda kujifunza mienendo ya kibunge ili atakapo rudi asionekane ni mgeni.

Kumbuka 80% ya wabunge waliopo watarudi tena mjengoni.
 
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwa kadri ninavyoelewa (naweza kuwa wrong), waziri mkuu hutokana na wabunge wa kuchaguliwa majimboni.

So ili Bashiru ashike nafasi hiyo chini ya awamu hii itabidi kwanza "aue" mtu jimbo lolote itakayopelekea uchaguzi mdogo halafu atangazwe na NEC (maana CCM wakilitaka jimbo wao ni kuiaigiza NEC tu cha kufanya!).

#KATIBAMPYANILAZIMA
 
Bashiru ni kiongozi asiye na taama ya mali wala madaraka. Si mlopokaji, ni mtulivu sana. Amepokea mabadiliko anaendelea na kazi aliyopewa. Tujikumbushe nyuma kidogo, huko nyuma kuna mawaziri walitumbuliwa wakapiga kelele matusi na kuonyesha kutoridhika kama vile walizaliwa na uwaziri. Lakini Mh Mwigulu na Simbachawene ( simba hula anachokiona) walikaa kimya kwa utulivu na kazi zikaendelea. Leo tunawaona walipo. Wote wameshika wizara nyeti
 
Kwa kadri ninavyoelewa (naweza kuwa wrong), waziri mkuu hutokana na wabunge wa kuchaguliwa majimboni.

So ili Bashiru ashike nafasi hiyo chini ya awamu hii itabidi kwanza "aue" mtu jimbo lolote itakayopelekea uchaguzi mdogo halafu atangazwe na NEC (maana CCM wakilitaka jimbo wao ni kuiaigiza NEC tu cha kufanya!).

#KATIBAMPYANILAZIMA
Na mara nyingi Mh. Kigogo 2014 amesema huyu jamaa ni mchawi,hivyo hilo la kuua Mbunge mmoja ili akagombee kwa nia ya kuupata uwazi mkuu labda kweli inawezekana.
 
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Umekosa Cha kuandika? SI ungeandika hata mambo ya kuku na sikukuu ya kesho.
 
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Lini sasa?
 
Wewe ki.laza kalale una usingizi wa pono,mdomo mreeefu huku hata Katiba hujui! Nyie ndo mlisema Makonda ateuliwe Ukatibu Mkuu Kiongozi! Very myopic!
 
Hawezi kuwa wazuri mkuu, labda waziri wakawaida
 
Tanzania ni yetu sote

MATAGA - Make Tanzania Great Again

Mungu ibariki tanzania

Acronym nzuri tu.

Sema waliojiasilisha hilo jina wamefanya kinyume chake pengine kwa tafsri mbaya ya nia njema, au kwa kuangalia maslahi binafsi na ya muda mfupi.

“The road to hell is paved with good intentions”.
 
Huyuhuyu Bashiru mwenye tuhuma za treason ? , Lack of experience in administration ..
 
Back
Top Bottom