Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Waziri Mkuu lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa na wapiga kura kupitia jimbo la uchaguzi. Labda awe waziri wa kawaida. Huyu anafaa utawala bora maana ni political scientist.
Hatabiriki ana ndimi mbili anaweza kutunadisha mchana wa jua kali, na ndiyo maana Mama amemshitukia mapema kabisa
 
Bashiru kama bashiru

Jamaa kafanya hili jina lionekane kituko
 
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Bila Jimbo awe waziri mkuu ?!. Katiba ya wapi mkuu ?!

Odhis *
 
kwani mama nae hakusema uongo kuhusu makufuli kuwa ni mzima anawasalimu
 
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Phew. Waziri mkuu yupo acha kuota mchana mwanangu
 
Mwaka upi? Maana ni mpaka akagombee achaguliwe
 
Waziri Mkuu lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa na wapiga kura kupitia jimbo la uchaguzi. Labda awe waziri wa kawaida. Huyu anafaa utawala bora maana ni political scientist.
Utawala bora hapataki mnafiki ndio maana unaona Mkuchika kazeekea pale
 
(2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
 
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Usiropoke tu, KATIBA ya nchi umeisoma?
 
Hujui hata katiba ndugu,waziri mkuu lazima atokane na mbunge wa kuchaguliwa jimboni.Hebu tuambie Bashiru anatoka jimbo gani?
 
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti.

Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema uongo na kutoa vijembe msikitini wakati JPJM akiwa katika hali mbaya na hatimaye kuiaga dunia.

Bashiru yuko makini sana na ni mfuatiliaji sana. Mnakumbuka alivyofuatilia mali za chama ambazo watu waligeuza ni mali zao binafsi. Huyu anatufaa. Yale maneno kusema hatapokea cheo kingine ni siasa tu hata hayati JPJM aliwahi kunukuliwa kukana kuutaka urais lakini baadaye akajitosa na kuukwaa.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu?
Labda waziri mkuu wa chato huko muleba
 
Haiwezekani wewe Kilaza, Hakidhi vigezo vya katiba, labda kama wataamua kutozingatia katiba kama jiwe katika teuzi zake.
Msishangae saaana,Inawezekana,No one know the future,Future is Mystery
 
Back
Top Bottom