Nasumbuliwa na MIJIMAMA

mimi najitolea kukusaidiaaa
kila jimama linalokufuata,wewe chukua namba yasimu halafu nitumie pm....
na kama hataacha usumbufu basi nakulipa wewe fidia.....
seriously..........
mwenzio naitafuta mijimama jiji zima siipati ya kutosha...
sasa najitolea kukusaidia..............
 
BUJIBUJI ile PM ni sawa na kubipu tu.
lete kitu kamili mezani niongee nacho
 
sasa nisikilize kwa makiiini sana.
Akikutokea jimama yeyote just chukua namba yake kisha send me thru PM nitakuepusha naye.

Mie ndo mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu[/QUOTE]

BUDEGE?? :becky::becky::becky::becky:
 
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

Ndugu yangu unahitaji msaada mkubwa sana kwani na wewe unawapenda kutokana na statement yako hapo juu. Hivyo uamuzi ni wako kwani suala la kufuatwa fuatwa nawe pia unalipenda, hivyo hunahaja ya kulalama, unaona ni sifa lakini habari utaipata baadaye. Hao mara nyingi wanawaweza vijana na limbwata na hutakuja hata siku moja kufikiria kuoa. Ushauri wangu ni kwamba usione sifa chukua hatua mapema. Nawasilisha !!!:sad:
 
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili.
Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui.
Sasa nimeachana na msichana wangu wa awali, lakini kila nikitoka out peke yangu lazima majimama wajisogeze anga zangu na kuanza kujiongelesha.
Je nifanyeje ili niache kufuatwafuatwa na mijimama hii?

Acha kulia-lia kijana.

Yasukumizie dawa hayo ma mama.

Hiyo ndo kazi yako mtoto wa kiume.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom