Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

ni wazalendo,maana katiba yao imeruhusu rais atawale mpaka akichoka.

kitu ambacho sio democrasia kwa mujibu wa magharibi.
Hapana katiba yao iko vzur na ndio iliyowafikisha pale, hawana mchezo na sheria zao hata kidogo co km hapa kwetu watu daily wanabadilisha sheria kwa maslahi binafsi
 
Mungu siku zote huwa anataka tujifunze kitu ,kumchukua huyo baradhuli aliekuwa hana haya na anamdhihaki Mungu wake na akaamua kumuonyesha.Mungu ampe maisha marefu mama
Ninaamini mama SSH, raisi wetu ameinuliwa Mola kwa kusudi kubwa moja tu, "Kuipa Tanzania KATIBA MPYA," ambayo haitaruhusu dhuluma tena, wala mateso, unyama wa utekaji, ukatili, wala ubaguzi wa kikabila na kikanda, utawala ambao hautaweka mihimili mingine mfukoni na kuitumia dhidi ya raia n.k.
 
Back
Top Bottom