Tayari. Ila unaingia kimafungu fungu. Inawezekana zamu yako bado kidogo😀😀😀😀😀😀 Bado sana Mkuu
mmmh!Tayari. Ila unaingia kimafungu fungu. Inawezekana zamu yako bado kidogo
HAhahah kwa kweli inawezekana Mkuu maana sie wengine kwa Buraza Magu ni black sheep in the family............. outcasted family for that matter.Tayari. Ila unaingia kimafungu fungu. Inawezekana zamu yako bado kidogo
Alitaka alipe mshaharaHamjiulizi kwanini Rais alisema anazihitaji zile Billioni 700 haraka harakaa....!!
Njoo kahama nikupe nauli bestHAhahah kwa kweli inawezekana Mkuu maana sie wengine kwa Buraza Magu ni black sheep in the family............. outcasted family for that matter.
Nakufata inbobo unigee nauli best....😀
na bahati mbaya zaidi hakuna mtumishi wa umma anayetimiza majukumu nyake ipasavyo. laiti wangetimiza basi nchi hii ingekuwa baliKuna mtumishi ambae mpaka leo hii bado ana imani na serikali hii..??duh mimi mbwembwe zao tu mwanzoni nikajua hawana pumzi hawa.
Hhahaha best yangu nifunge safari kuja kufuata mia 4 ya daladala best? Nitumie tu banaNjoo kahama nikupe nauli best
na bahati mbaya zaidi hakuna mtumishi wa umma anayetimiza majukumu nyake ipasavyo. laiti wangetimiza basi nchi hii ingekuwa bali
Hhahaha best yangu nifunge safari kuja kufuata mia 4 ya daladala best? Nitumie tu bana


kwa njia ipiAcheni bangi.....salary for October is outkama kweli mshahara bado ,kwa mbaali naanza kumuamin zitto
Acha visingizio, ndio maana hatufanyi kituUkitaka hata mbwa wako akuheshimu basi wewe mlishe vizuri tu hakika kila utakalomwambia atafanya ila ukimlaza njaa usishangae akihamia kwa jirani au akawa anashinda dampo,ni upuuzi kutimiza wajibu wakati muajiri hatimizi majukumu yake.
Hivi kwa usawa huu ambapo hata ya kutolea ntakosa ..........vituo vya Police si vingefanya huduma hii ya kutuma pesa best? Si wanatutumikia wananchi? hahaha (Jamani Police men ninatania tu msijenitumia FFU huku)kwa njia ipi
a
Acha visingizio, ndio maana hatufanyi kitu
we are good for nothing except excuses
hahahahahahahahaaaaahSio mbaya wewe ukifanya kitu ila mimi sina sababu,hii Dunia ina millions of options sio lazima tufanane ukiona wenzako wamekaa sio mbaya ukasimama ni maamuzi ila sidanganywi kama zamani maana miaka 10 iliyopita nimevuja sana jasho na keki wakawa wanakula wengine kwa sasa nami niko upande wa pili.
😀😀😀😀 loading............. watu mna vituko humu.Inawezekana mim nimeangalia naona ina load tu bila majibu labda ndo wanaweka![]()
HAhaahaaa Njoo Kamanda...,Saiv Nipo napata mbuzi choma na Windhoek baridi kusuuza kooHAhahah kwa kweli inawezekana Mkuu maana sie wengine kwa Buraza Magu ni black sheep in the family............. outcasted family for that matter.
Nakufata inbobo unigee nauli best....😀
Aaaahhhh na kweli wanaweza kukufuataHivi kwa usawa huu ambapo hata ya kutolea ntakosa ..........vituo vya Police si vingefanya huduma hii ya kutuma pesa best? Si wanatutumikia wananchi? hahaha (Jamani Police men ninatania tu msijenitumia FFU huku)