hahahahahahahahaaaaah
then usidai haki nbila wajibu
Itabidi niamie NMB tu SasaKama uko CRDB au kwingine, vumilia. wale NMB hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hahahha, sasa ukihamia halafu mwezi mwingine wakaanza kuwawekea wa CRDB au benki zingine na NMB ikawa ya mwisho!!!!Itabidi niamie NMB tu Sasa
NMB Naona ni jayantihahahha, sasa ukihamia halafu mwezi mwingine wakaanza kuwawekea wa CRDB au benki zingine na NMB ikawa ya mwisho!!!!
Mali ya "sirikali" hahahahahahNMB Naona ni jayanti
NMB ni benki pendwa ya uncle. Lakini benki bora ni CRDB.NMB Naona ni jayanti
Duh ila tutafika tuNMB ni benki pendwa ya uncle. Lakini benki bora ni CRDB.
Umeona eh........... watu wamekomaa hawaitakiCRDB watakuwa wanafanya maksudi kulazimisha salary advance yao.
Tayari?Tayari mkuu
NMB mkuuTayari?
Watu wanasema mishahara imeshaingia NMB; ila mambo bado huko CRDB na benki nyingine. Tayari yako inamaanisha nini?
Benki gani mkuu?Kitu tayari wakuu